Dawa ya jiko
Sababu ya nyerere kuwachia madara ni moja tu na ilikuwa ni hiyari yake, hakun amtu alomlazimisha kuondoka.
nayo ilikuwa ni KUFA KWA UCHUMI WA TZ na KUKIMBIA AIBU JUU YA HILO
Uchumi wa tz katika siasa ya UJAMAA ulikuwa tayariumegonga ukuta. Serikali illikuwa haina pesa, mashirika ya umma, hayakufanikiwa kuzalisha kama yalivotarajiwa, sabubu kubwa zilochangia ilikuwa ni wizi wa viongozi waliokuwa wakikabidhiwa mashirika.
Tukumbuke Nyeere alikuwa ni mpenda madaraka kama viongozi wengine wa afrika waliopata uhuru kutoka kwa wakoloni.
Alipoingia Mwinyi madarakani alikuta shilingi 8,000/- tu katika hadhina ya serikali, ikiwa mutakumbuka katika safari zake za mwanzo alikwenda kwa Mugabe na huko akapatiwa masaada wa kuendesha serikali yake,
Ndio Mzee mwinyi akaja na ile kauli maarufu wakati ule....RUHSA........ili watu wafanye biashara PLUS PLUS
NYERERE ALIKIMBI AIBU TU SIO ZAIDI YA HAPO