Nini hasa kilicho mfanya Nyerere ang'atuke madarakani?

Nini hasa kilicho mfanya Nyerere ang'atuke madarakani?

mwalimu alikuwa na akili nyingi sana alipoona nchini imemshinda akakaa pembeni, viongozi wangapi wa kiafrika waling'ang'ania madaraka hali ya kuwa jahazi linaenda mlama?
 
....we unaona ni stori hiyo? watoto wa kawambwa mna taabu sana.

Naona JF ina ma self proven geneouses waliosoma enzi za mwalimu!

Turudi kwenye mada, mimi nafikiri mwalimu aliangushwa na uchache wa watendaji, utaalamu duni,wizi uliokithiri,na uwezo duni wa kusimamia shughuli mbalimbali miongoni mwa mamenega! Na hii ilipelekea viwanda vingi kuwa mufiri.Pia uvivu uliokithiri miongoni mwa wafanyakazi wa sekta za umma ulipelekea uzarishaji kuwa wa chini!
 
Kuna watu vizazi vyao mopaka leo bado wanalalamika jinsi mwalimu alivobana coz walitegemea baada ya nchi kuwa huru basi waitafune mpaka waibinafsishe mifukoni mwao lakini wakakutana na kisiki cha mpingondio maana ukuwaambia habari zake wanaona kichefuchefu r.i.p mwalimu
 
hekimatele

Watu wanasahau kuwa nyumba haisimami isipokua msingi. Taifa bila Nyerere nani angekuwepo hapa ana uhuru huu uliopo?
Tanzania bila Nyerere ni ndoto. Tumpigie kelele lakini ukweli unabaki pale pale ubaoni. Nyerere jembe. Alitengeneza msingi imara tatizo waliokuja kujenga walitumia udongo badala ya matofali.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mkuu umezaliwa wakati wa mwinyi?
 
rpg

Naona JF ina ma self proven geneouses waliosoma enzi za mwalimu!

Turudi kwenye mada, mimi nafikiri mwalimu aliangushwa na uchache wa watendaji, utaalamu duni,wizi uliokithiri,na uwezo duni wa kusimamia shughuli mbalimbali miongoni mwa mamenega! Na hii ilipelekea viwanda vingi kuwa mufiri.Pia uvivu uliokithiri miongoni mwa wafanyakazi wa sekta za umma ulipelekea uzarishaji kuwa wa chini!

nchi ikisumbuliwa na

uchache wa watendaji + utaalamu duni + wizi uliokithiri +uwezo duni wa kusimamia shughuli mbalimbali miongoni mwa mamenega+ viwanda vingi kuwa mufiri + uvivu uliokithiri miongoni mwa wafanyakazi wa sekta za umma + uzarishaji kuwa wa chini = UCHUMI MBOVU

HILI NDIO LILOMKWAMISHA MWALIMU NYERERE, IKAMBIDI AMTUPIE MZIGO MWINYI
 
....Ha ha ha ha I LIKE THAT "mfumo DUNIA" vijana wa siku hizi mna maneno kweli kweli....anyway.....ni hvi wakati ule kambi ya ki socialism ilikua inaanguka na hali ya kiuchumi tanzania ilikua mbaya sana na hata hivyo capitalism ilikua inashika kasi dunia nzima kwa vile jk alikua na sera za kijamaa akaona ni vyema amuachie mtu mwingine madaraka ili ubepari ukiingia nchini isiwe aibu yake!
Umemaliza yote mkuu,isingekuwa rahisi kwake kugeuka jiwe,angalia alipokuwa anaondoka hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana,yeye aliwapinga IMF lakini Mwinyi alipochukuwa uraisi akamwambia hiari yake kukubaliana nao NAE akakubaliana nao hali ya uchumi ikaanza kubadilika.
 
Kwani 1985 hakuombwa?? hoja yako imepoteza mashiko, aliombwa mbona aliachia madaraka??? kwani hata serikali haijui?? si vijana wa kazi wenye nyaraka za kaya mtuwambie? au siri kuu,,tunataka kujua historia toeni nyaraka
 
nyrere aliona mbali. Angeweza kulazimisha kama mugabe. Wengi walikuwa wanamuunga mkono bado
Daa!!!!!tue fair tunapojadili mada hii na ukweli wa kilichotokea,unaposema aliona mbali,mbali wapi???sio kweli asingeanzisha azimio la arusha ambalo lilikuja kufa hata kabla ya yeye kuondoka madarakani,pili asingeingia vita na uganda kwa ajili ya kumrudisha madarakani rafiki yake Obote na kuwafanya watanzania wengi waamini kuwa sisi ndio tuliochokozwa,hali iliyougharimu uchumi wetu kwa miaka mingi.Asingemtembeza MKAPA nchi nzima akisema nawaletea kijana SAFI asiye na mawaa lakini uliona Mkapa alichokifanya kwenye utawa wake hasa miaka mitano ya mwisho haijalishi kama ndio miaka Nyerere alifariki,kuona MBALI ni neno kubwa labda MANABII NA MITUME tena wa enzi hizoooooo.
 
Tunakubali alikuwa na akili sana ila ndiye aliyetupelekea kuwa hapa tulipo umasikini mkubwa, hifadhi ya fedha za kigeni kumalizia kwenye vita, kusaidia majirani mpaka kupitiliza ona wao hatawajali,nyerere alikuwa mkaidi sana haambiliki wala hashauriki na hapo ndipo alitupeleka chaka,mkabila sana japo alionekana kuupiga vita kumbuleni wakati fulani waziri mkuu warioba, mshauru wake mzee wa kigoda cha mwl,mkuu wa majeshi msuguri, gavana wa benk kuu shemeji yake nyirabu wengine wataeendelea

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Miaka ile ya 1985 wakati mwalimu Nyerere anang'atuka dunia ilikuwa imeshaanza kwenda kasi sana kwa hiyo alishindwa kwendana na kasi ile.Mfano hakuwahi kukubali masharti ya world bank ya mikopo.Kwa kusimamia msimamo wake akaona ni bora mrithi wake aje kukopa lakini si yeye
 
Miaka ile ya 1985 wakati mwalimu Nyerere anang'atuka dunia ilikuwa imeshaanza kwenda kasi sana kwa hiyo alishindwa kwendana na kasi ile.Mfano hakuwahi kukubali masharti ya world bank ya mikopo.Kwa kusimamia msimamo wake akaona ni bora mrithi wake aje kukopa lakini si yeye

I am also inclined towards that thought, from what we know of that era the current pattern of political economy globally was shifting to what it is today. Even China our ally in terms of society practices had started the adaption of that new global economical approach slowly, to be exact about six years earlier prior to the resignation of JNK.

Henceforth JKN new where the global political economy world was heading and socialism had failed. Thus the argument that his fundamental beliefs on socialism and personal pride had much influence on his final decision build a strong case of his resignation. If you look back at that era JKN was still productive and in good health, there was no one that dared to challenge him publicly and even if they did, he did not stand a chance since a majority voters were pretty much brainwashed and under his spell despite their everyday struggle unlike the CCM of today which can no longer be tolerated.

Therefore the argument that his untimely resignation was influenced with the things makes much sense, since his ego was not willing to accept the truth publicly and to the world that socialism was a failure. A person of JKN caliber would not leave like that: without a prepared successor either from the mainland or the islands who understood him, would have wanted the future leader to understand why he protected so much of the national resources and at what terms should we allow the external exploitation and all other of his good efforts which are heading south as times goes by.

It just seems as if the social problems of the time which he was responsible for, were too much for him to bear morally because of his misjudged economical trials; adding the fact that the tide of global economy was favoring capitalism the man just though he seen enough of propaganda to lie anymore socialism was a failure.
 
nchi ilimshinda. limbunga cha ubepari kilikua kimeivamia dunia. ujamaa ulikua umedhoofika kishenzi ikiwemo kufa kwa USSR. nchi za kusini pamoja na Uganda (obote) zilitufilisi kwa kuzidhamini. azimio la arusha lilifeli. mwalimu aliikata benki ya dunia na ifm. baada ya kuona mambo yamekua magumu kwake, akaamua kung'atuka ili kukwepa fedheha. mzee mwinyi ndiyo mkombozi wa uchumi wa nchi hii. aliruhusu biashara huria. hakuuza viwanda vilokuepo na alijaribu kuvifufua. mkapa ndiye alieuza viwanda vyote. jk hakukuta kitu. kwa kumalizia nyerere aliona akiendelea ataumbuka. akaamua kuachia ngazi. alitumia busara
 
Alisema kuwa afadhali kung'atuka kuliko kugeuka nyuma kwani ukigeuka nyuma waweza kugeuka kuwa jiwe la CHUMVI!
 
nchi ilimshinda. limbunga cha ubepari kilikua kimeivamia dunia. ujamaa ulikua umedhoofika kishenzi ikiwemo kufa kwa USSR. nchi za kusini pamoja na Uganda (obote) zilitufilisi kwa kuzidhamini. azimio la arusha lilifeli. mwalimu aliikata benki ya dunia na ifm. baada ya kuona mambo yamekua magumu kwake, akaamua kung'atuka ili kukwepa fedheha. mzee mwinyi ndiyo mkombozi wa uchumi wa nchi hii. aliruhusu biashara huria. hakuuza viwanda vilokuepo na alijaribu kuvifufua. mkapa ndiye alieuza viwanda vyote. jk hakukuta kitu. kwa kumalizia nyerere aliona akiendelea ataumbuka. akaamua kuachia ngazi. alitumia busara
Give credit were its due JKN failure is still better compared to Mwinyi’s accomplishments or any of his successors. We have to respect the man because he had a philosophical approach of the nation he wanted to build with limited right skilled man power.

Nevertheless he attempted his economical approach with a supporting mechanism we could afford at the time. Almost everything was in place to support the implantation of his “ujamaa na kujitegema” and he envisioned how it was suppose to work, only that the concept was just not good on its own economically.

Therefore if JKN had opted for a mixed economy he would have achieved better than of his successors. The leaders that followed only knew “ujamaa na kujitegema” proved to be a failure and that a nation needed to adapt capitalism, but with little prepared mechanism on how it was going to work, to date we haven’t skilled experts on most of our resources that are being exploited. Whereby on JKN socialism he had atleast a handful of needed skilled workers to foresee his visions, he had a vision on how society would participate and so on to do with his socialism approach.

These current leaders are just about “tia maji tia maji, ugali utaiva tu” on their economical approach they just don’t have a vision on how this whole capitalism approach is supposed to work in Tanzania and how it is to benefit the nation and its people. That is to say at least Nyerere failed philosophically because fate didn’t favour socialism but these current Bozzo’s are running the country like headless chickens
 
Dictator Nyerere ameona upepo wa mabadiliko unakuja kwa Nguvu baada kuwaona Madictator wenziwe wa nchi za Mashariki walivyokumbwa na dhoruba. Mimi ningelifurahi angeliwaona kina Qathafi wa Libya, Mubarak wa Egypt wanavyofanyiwa
 
kiumri bado alikua yuko safi,kiafya alikua safi,kiakili,vision na uwezo wa kuongoza alikua fiti zaidi,je ni kweli nyerere aliamua kwa hiari yake mwenyewe kutoka moyoni kuachia madaraka au ni nguvu ya mfumo DUNIA?

WHAT IS BEHIND THE SCENE?

Kwa kifupi ni sera za IMF na World Bank.
 
Not that I care too much for the contradictory "Ujamaa na Kujitegemea".

Nevertheless I have to say.

Any oversimplification is inherently bound to distort. A more measured analysis is needed.

Case in point. Because of Nyerere's policy, today an average Tanzanian can aspire to own land - even if its more like a 33/66/99 year lease.

Unlike some neighboring countries.
 
Back
Top Bottom