Nini hasa kilicho mfanya Nyerere ang'atuke madarakani?

Nini hasa kilicho mfanya Nyerere ang'atuke madarakani?

Not that I care too much for the contradictory "Ujamaa na Kujitegemea".

Nevertheless I have to say.

Any oversimplification is inherently bound to distort. A more measured analysis is needed.

Case in point. Because of Nyerere's policy, today an average Tanzanian can aspire to own land - even if its more like a 33/66/99 year lease.

Unlike some neighboring countries.

i can see a lot of "brains" from this post,i wish you could share it with some members here
 
Wakati anachukua nchi kutoka kwa Wakoloni ilikuwa na Maendeleo makubwa sana, baada ya miaka kadhaa

ya uongozi wake akaua viwanda vyote, elimu ikafa, umaskini ukaongozeka kwa kasi kubwa...

Kwa aibu kubwa sana akaamua kung'atuka

cc zomba

ama kweli jf inazidi kuchuja. kama hauna la kuchangia ni bora ukae kimya.
 
Kwani 1985 hakuombwa?? hoja yako imepoteza mashiko, aliombwa mbona aliachia madaraka??? kwani hata serikali haijui?? si vijana wa kazi wenye nyaraka za kaya mtuwambie? au siri kuu,,tunataka kujua historia toeni nyaraka

.....What is your point mkuu? napata shida kukuelewa.
 
Give credit were its due JKN failure is still better compared to Mwinyi’s accomplishments or any of his successors. We have to respect the man because he had a philosophical approach of the nation he wanted to build with limited right skilled man power.

Nevertheless he attempted his economical approach with a supporting mechanism we could afford at the time. Almost everything was in place to support the implantation of his “ujamaa na kujitegema” and he envisioned how it was suppose to work, only that the concept was just not good on its own economically.

Therefore if JKN had opted for a mixed economy he would have achieved better than of his successors. The leaders that followed only knew “ujamaa na kujitegema” proved to be a failure and that a nation needed to adapt capitalism, but with little prepared mechanism on how it was going to work, to date we haven’t skilled experts on most of our resources that are being exploited. Whereby on JKN socialism he had atleast a handful of needed skilled workers to foresee his visions, he had a vision on how society would participate and so on to do with his socialism approach.

These current leaders are just about “tia maji tia maji, ugali utaiva tu” on their economical approach they just don’t have a vision on how this whole capitalism approach is supposed to work in Tanzania and how it is to benefit the nation and its people. That is to say at least Nyerere failed philosophically because fate didn’t favour socialism but these current Bozzo’s are running the country like headless chickens

do you agree with me that JKN misused funds to finance southern Africa independence struggles? do you know that he is the one who financed the ugandan UNLA?
 
do you agree with me that JKN misused funds to finance southern Africa independence struggles? do you know that he is the one who financed the ugandan UNLA?
No sir, I do not agree on those accusations; JKN was a highly principled character a proponent of free and independent Africa which was free from western interference/influence in its politics and economic affairs. With those strong believes it was no surprise of his role as an activists of that era, therefore it is only right to justify his expenditures on those lines.

He also understood there was the need for Africans states to collaborate closely in fuelling their own development in the future; most of his struggles were as a result of the future of Africa he saw on his mind. May be he thought the future leaders would be smart and understood their phase of leadership and take the struggles further in order to gain economical independence which was free from western government manipulation and their exploitative organs such as IMF and World Bank.

The misuse of funds occurs when one spends for personal gain, in this instance it was for what he believed would benefit the continent in the long run. To me the faults of JKN lies in his economical approach, his untimely resignation which dint have a succession planning that would have made the right people run the country and not removing the mechanism of governance which he needed to build a nation he found, but not suitable for the health of democracy in the long run.

Imefikia hatua kuna watu wanaamini ni haki yao pekee kupata madaraka na lazima upitie kwao kwa namna za kujipendekeza kwakuwa wanamiliki polisi, mahakama na mfuko wa jamii that is pathetic. Worst na jamii inaamini hivyo lazima ujipendekeze hili ufike popote hata humu ndani we chunguza 80% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa ni watu wa kusujudu vyama au watu lakini there is very little contribution from their own thinking hata kama ni wanachama wa vyama fulani ushabiki wao umepitiliza especially when they do not defend the policies tangibly.
 
it is of no doubt that we had a very small economy during JKN's regime. how comes u justify the financing of freedom struggles while Tanzanians were standing in queues for a bar of soap, a kilo of sugar and a meter of material!? JKN was politically ambitious. he had dreams of controlling the southern region but things didn't work out!
 
Baadhi ya facts: Viwanda vingi vimejengwa baada ya Uhuru. e.g for textiles ilisemwa na wamagharibi enzi zile ati weather ya tz haifai kuwa na textiles ndiyo wa china wakaja na urafiki, vingine vikafuata. Nyerere alifocus kwenye development ya industry mwanzo kabisa, ili tusi supply raw materials zisizoongezwa thamani kwenye viwanda vya north au Kenya ambayo muingereza ali idesignate kuwa eneo lake la viwanda for EA. Mvutano na Kenya partly ni ajili ya sisi kukataa kunyonywa na viwanda vyao. tukajenga viwanda vingi sana vya nguo, mafuta sabuni n.k. na kupunguza importation ili kulinda viwanda vyetu. Hizi light industries ina maana zilipunguza soko la mataifa ya nje na Kenya nchini TZ kwani East African Palmolive...sasa unilever et.c, zilipoteza soko hapa. Tatizo ni kwamba mashirika ya umma ubadhirifu ndiyo ulisababisha performance kuwa mbaya ingawa mpaka tunaenda vitani Uganda, tulikuwa na viwanda vya almost kila bidhaa mpaka za mashine na vipuri na growth na reserve ilikuwa juu. Kwa upande mwingine, wakati tunajenga reli ya uhuru ya TAZARA kulikuwa na makubaliano na china kununua bidhaa zake, inaweza kuwa ilipunguza kasi kidogo ya maendeleo ya viwanda lakini kikubwa ni Public Ownership na vita ya Uganda. Private Sector ya uzalishaji nayo ilikuwepo hasa jamii ya wa asia na baadhi ya wazawa ambao walianza miaka ya mwisho ya utawala wa nyerere akina IPP, MD investments et.c. hawa wamepunguzwa nguvu na mfumo dunia ambao ulilazimisha soko huria. Nahisi ilibidi wakimbilie kwenye media maana kushindanishwa na dunia nzima siyo fair sana hasa asia ambao wana cheap labor. Kuondoka kwa nyerere na dynamics hizi ni coincidence tu, lakini alitaka kutoka mapema na alikuwa muelewa mzuri wa demokrasia ila alijua angeacha demokrasia hii tangu tunapata uhuru, aliowapenda zaidi yaani masikini na waafrika wangechelewa sana kupata maendeleo. Ndiyo maana hakuwa na kigugumizi kuzungumzia vyama vingi ni kitu alikijua analytically. Nyerere na uongozi wake unaweza kuwa challenged kisawa sawa kama tutaishi muda mrefu sana tuone kama kweli alikuwa wrong hata kwenye economics ambako some people think he didn't do well. Yeye aliweka inputs, sasa wanafaidi wengine. Southern Africa iko huru. Angalia growth kiuchumi kwa the oppressed wa Southern Africa and even oppressors(except Rhodesia) leo SA inafanya biashara in the whole of south of sahara. Isingetokea under apartheid. Akina Nyerere walikuwa na maono makubwa zaidi kiuchumi kuliko wavivu wengine wanavyofikiri.
 
it is of no doubt that we had a very small economy during JKN's regime. how comes u justify the financing of freedom struggles while Tanzanians were standing in queues for a bar of soap, a kilo of sugar and a meter of material!? JKN was politically ambitious. he had dreams of controlling the southern region but things didn't work out!
Its called opportunity cost you forsake a course for an alternative, may be JKN thought the course for African independence was fruitful in the long run and worth of our national investment to short term economical benefit of his own nation (not to forget also his internal economic policies were bad on their own merit).

Leadership is about making tough decisions you know sometimes, this was so much complicated and needed some of JKN abilities to understand the long term benefits. Unlike, the decision to decide taxing 1000 on sim card in order to raise 178, or to trim down the 1.9 trillion shilling on government car expenses only.

Like I said may be he was hoping a free and independent Africa would collaborate in fuelling their own economical development and thus benefiting the nation in the long run compared to short term local problems.
 
Daa!!!!!tue fair tunapojadili mada hii na ukweli wa kilichotokea,unaposema aliona mbali,mbali wapi???sio kweli asingeanzisha azimio la arusha ambalo lilikuja kufa hata kabla ya yeye kuondoka madarakani,pili asingeingia vita na uganda kwa ajili ya kumrudisha madarakani rafiki yake Obote na kuwafanya watanzania wengi waamini kuwa sisi ndio tuliochokozwa,hali iliyougharimu uchumi wetu kwa miaka mingi.Asingemtembeza MKAPA nchi nzima akisema nawaletea kijana SAFI asiye na mawaa lakini uliona Mkapa alichokifanya kwenye utawa wake hasa miaka mitano ya mwisho haijalishi kama ndio miaka Nyerere alifariki,kuona MBALI ni neno kubwa labda MANABII NA MITUME tena wa enzi hizoooooo.

aliona mbali kwa maana ya kwamba hakuwa na matumaini tena na kile alichosimamia kwa muda mrefu. kwamba kilikuwa hakiwezekani tena hivyo akaachia ngazi. wako viongozi wanaona wanashindwa lakini wanangangania mfano ni Mugabe. ni jambo la dhahiri kuwa Nyerere alikuwa extra intelligent.
 
kiumri bado alikua yuko safi,kiafya alikua safi,kiakili,vision na uwezo wa kuongoza alikua fiti zaidi,je ni kweli nyerere aliamua kwa hiari yake mwenyewe kutoka moyoni kuachia madaraka au ni nguvu ya mfumo DUNIA?

WHAT IS BEHIND THE SCENE?
Mjadala unaendelea.....
 
Wakati anachukua nchi kutoka kwa Wakoloni ilikuwa na Maendeleo makubwa sana, baada ya miaka kadhaa

ya uongozi wake akaua viwanda vyote, elimu ikafa, umaskini ukaongozeka kwa kasi kubwa...

Kwa aibu kubwa sana akaamua kung'atuka

cc zomba
unasemaje kuhusu muelekeo wa jiwe ?
 
Wakati anachukua nchi kutoka kwa Wakoloni ilikuwa na Maendeleo makubwa sana, baada ya miaka kadhaa

ya uongozi wake akaua viwanda vyote, elimu ikafa, umaskini ukaongozeka kwa kasi kubwa...

Kwa aibu kubwa sana akaamua kung'atuka

cc zomba
????? Aliua viwanda vyote Nyerere!!!???? Khaa!
Urafiki, UFI, Mwatex, ZZK, Tanesco, Tancut Almasi, Kiwanda cha Pareto nk vilianzishwa lini na vikafa LINI!?
 
Siku nikiwa kiongozi wa juu, ntahakikisha nalifuta jina la huyu mzee kwenye historia ya nchi hii kama lilivyofutwa jina la Amstrong kwenye mchezo wa mbio za baiskeli.
Alichokifanya ilikuwa ni kuididimiza nchi kiuchumi kwa miaka yote ya kukaa madarakani. Hii ilitokana na chuki yake dhidi ya watu waliokuwa wanafanikiwa kiuchumi hasa matajiri. Hakupenda kabisa mtu atajirike chini ya himaya yake.
Bila yeye, leo hii taifa letu lingekuwa taifa kubwa na lenye nguvu kubwa za kiuchumi Africa. Its because of him vinchi vidogo kama Kenya vinapata kifua cha kututambia na kutupita kiuchumi.
Tatizo kubwa lililomsumbua ni ego! He didnt want any one to look better than him kitu ambacho kilimfanya asishaurike kwa chochote na kwa lolote.
 
Back
Top Bottom