Nini Hakijatimia Hapa???

Halafu bila hata aibu raisi anatengewa bil.50 kwa safari zisizokuwa na tija!
 












































Wakuu Rock na Safari_ni_Safari haya ndio mafanikio ya Big Results Now, maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele, ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Hivi ndivyo MACCM wanajenga vipaji vya Taifa la kesho huku wenyewe wakiendelea na ufisadi wa zaidi ya shilingi Trillioni moja kwa mwaka na nyingi walizokwishakwapua wakiwa wamezificha nchi za nje.
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky, nimesema ambacho hakijakamilika ni shule, yes ni kweli, shule ili iitwe shule ina viwango vyake ndo maana kunawakaguzi wa wizara na wakaguzi wa elimu kutoka katika manispaa au miji. mtu binafsi anapotaka kujenga shule lazima eneo likaguliwe kama linafaa kwa shule, muhusika anapewa vipimo maalum vya standard za vyumba na saizi ya madirisha, idadi ya vvyoo kuendana na jinsia na idadi ya wanafunzi pamoja na mambo mengi yahusiyo mambo ya afya na usalama wa mtoto, shule ikokosa viwango hivyo inapewa muda wa kuvirekebisha na ikishindwa inafungiwa, zaidi ya asilimia hamsini ya shule za serikali tanzania hazijafikia kiwango cha kuitwa shule, hiyo iliyo onyeshwa kwenye picha na mdau labda tuiite kambi ya mafunzo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…