Tumepiga hatua na tunasonga mbele CCM OYEEEEEE!!!!
[/QUOTE
Safari ni Safari ukiweka picha ya mtu kashika jembe unaburudisha moyo wangu jembe linalipa njaa na uchoyo unausikia kwa majirani tu hahahaha.]
Hizi picha zinatia simanzi sana ukiondoa ya mhe Deo kama macho yameona vyema,kiukweli hali ya mtanzania wa kawaida si shwari kabisaaa,na hapo ndio kitu wanachojaribu kueleza watoto hawa,kweli hii ni zaidi ya miaka 50 ya uhuru au ni miujiza ya uhuru.Amakweli mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa.