Nini Hakijatimia Hapa???

Tumepiga hatua na tunasonga mbele CCM OYEEEEEE!!!!
 
kitu amabacho hakijatimia hapa ni shule.
TECHMAN hapo kwa maelezo ya BRN shule imekamilika ni wewe tuu hujaiona akiingia mwalimu ambaye hajalipwa mshahara wake wa miezi miwili iliyopita na ambaye anakaa chumba kimoja cha kupanga na mke na watoto wake wawili wakubwa na ambaye ametoka kugombana na mwenye nyumba kisa hajalipa kodi na dukani kwa mangi anadaiwa mpaka amebadilisha njia ya kupita ndo utapata matokeo makubwa sasa ambapo 1+1 =11 BAK uko wapi hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…