Nini haki ya mwenza kwa mali baada ya separation?

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
2,193
Points
2,000

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
2,193 2,000
Naomba maelezo yenu wanasheria....kama wenza wa ndoa ya kikristo wametengana rasmi na kugawana mali zilizopo wakati huo lakini baadae (wakati wowote post separation) mmoja wao (mume au mke) akiwa single vile vile akachuma mali kwa kipato chake je mwenza wake anaweza kudai mgawo? au atakuwa na haki yoyote juu ya hiyo mali mpya mbele ya safari?
 
tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
2,193
Points
2,000

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
2,193 2,000
replying to King'asti....kwa vile taraka imekuwa na burden of prove, familia zote mbili na wanandoa wameridhia kutengana kwa muda usio rasmi lakini in real sence wametalakiana maana nasikia separation isyo na suruhu kwa zaidi ya miaka 3 ni talaka. nafikiri nimekujibu....
 
Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,272
Points
1,500

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,272 1,500
replying to King'asti....kwa vile taraka imekuwa na burden of prove, familia zote mbili na wanandoa wameridhia kutengana kwa muda usio rasmi lakini in real sence wametalakiana maana nasikia separation isyo na suruhu kwa zaidi ya miaka 3 ni talaka. nafikiri nimekujibu....
Kama hawajapeana talaka rasmi wambie wakimbie haraka mahakamani ili ndoa yao ivunjwe kisheria na kila mtu atambae na chake...Vinginevyo watakuwa wamekalia kuti kavu kwani kisheria wataendelea kuwa wanandoa!
 
tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
2,193
Points
2,000

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
2,193 2,000
separation imefanyika at family level yaani familia za pande zote mbili zimeridhia kila mtu achukue chake na ndivyo ilivyokuwa kwa sasa kila mtu anaishi kivyake. Evidences at family level ilitosheleza kuachanisha ndoa lakini mahakamani ikawa ngumu. Yaani hawa watu kwa sasa wameshetengana sasa jamaa anauliza akichuma mali kwa sasa,nke atadau?
 
Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,576
Points
1,195

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,576 1,195
unajua ndoa za kidini huwa zivunjwi lakini mimi nashauri wote wawe waungwana kama walishaachana kila mmoja achukue vector maana nje ya hapo wanaweza hata kuuuana kwa sababu zisizo na maana kila mtu aridhike na chake wataishi kwa amani labda kama wanataka kurudiana inawezeka. nje ya hapo kwa jinsi walivyoachana ingekuwa ni ndoa ya kimila ilikuwa sawa
 
Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
6,794
Points
1,225

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
6,794 1,225
separation imefanyika at family level yaani familia za pande zote mbili zimeridhia kila mtu achukue chake na ndivyo ilivyokuwa kwa sasa kila mtu anaishi kivyake. Evidences at family level ilitosheleza kuachanisha ndoa lakini mahakamani ikawa ngumu. Yaani hawa watu kwa sasa wameshetengana sasa jamaa anauliza akichuma mali kwa sasa,nke atadau?
<br /> <br / kuna maandishi yyt walioandikishana kuwa wametengana na kugawana mali?
 
daisy

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
144
Points
225

daisy

Senior Member
Joined Jan 22, 2011
144 225
Hata kama hawajaenda mahakamani, nivizuri wakifanya hiyo separation kwa maandishi tena yaandaliwe kitaalam na mwanasheria. Then ikipita miaka miwili hajaweza kurudiana yoyote kati yao anawea kwenda mahakamani ili kuomba Talaka hoping that upande wa pili hautakuwa na pingamizi wataisaidia mahakama kwani itachukua tu yale makubaliano yao.

Angalizo hakuna mgawanyo wa mali during separation hata iwe judicial. mgawanyo wa mali unafanyika pale tu talaka inapotolewa. wanachoweza kuweka kwa maandishi ni arrangement ya jinsi ya kuishi hasa uangalizi wa watoto na hizo mali naman ya kutumia pamoja. Again there is no extrajudicial divorce, talaka lazima itolewe na mahakama walengwa wanachoweza kufanya ni makubaliano juu ya mgawanyo wa mali na uangalizi wa watoto basi.
 
Forum statistics

Threads 1,390,250
Members 528,131
Posts 34,047,187
Top