Nini Gta V , hii hapa Mad Max


G

Gojaga Nize

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
2,761
Likes
1,372
Points
280
G

Gojaga Nize

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
2,761 1,372 280
Unauzaje
 
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
6,361
Likes
6,060
Points
280
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
6,361 6,060 280
Specification zake zikoje
 
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
6,361
Likes
6,060
Points
280
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
6,361 6,060 280
kama unamaanisha requirements , inahitaj atleast
32GB Hdd
6 Gb ram
2 Gb vram
3.2 ghz cpu
dx11
Aisee nimechemka kwenye ram na vram
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
3,254
Likes
1,441
Points
280
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
3,254 1,441 280
wale wapenzi wa open world games na gta v , baada ya kuona video youtube ya gameplay ya madmax nikaona sio shida nikaidownload na kuiinstall nijionee, naam nilichokuwa nakitafuta nimekipata , gameplay iko vizur.graphics kali , story nayo pia ni nzur , kuna mambo mengi ya kufanya na map nikubwa naweza kusema mara 3 ya ile ya gta v , kama umeiona movie nna uhakika utaipenda maradufu hii game, unaweza kuipata fitgirl repacks au skidrow reloaded ,
Hii game sikuipenda kabisa...nilifuta kabisa
 
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Messages
6,361
Likes
6,060
Points
280
Papushikashi

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2016
6,361 6,060 280
unaweza kuforce kwa very low setting na ukilower resolution ila hautaenjoy game
Kweli mkuu ila naona pc yangu ni ndogo 2gb ram ila najipanga ninunue mashine ya ukweli
 
david steve

david steve

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
588
Likes
447
Points
80
david steve

david steve

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
588 447 80
Usifananishe gta V na vitu vya kijinga mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,272,340
Members 489,924
Posts 30,448,124