leo umenifumbua,kuna jamaa yangu alikuwa akimpeleka mama yake kwa Godman wakati ana kisukari,alikuwa anapewa midawa kibao,nishangaa leo kusoma kumbe Godman ni wa vichaa.Sina uhakika na hili, ila nijuavyo mimi Godman ni dk wa Vichaa.
Mfungie ndani! kuna mji nilikua jamaa m1 mwny familia alikua shoga, ndg zake wakaona anawachafua wakam2mia vbka wakamuua!
leo umenifumbua,kuna jamaa yangu alikuwa akimpeleka mama yake kwa Godman wakati ana kisukari,alikuwa anapewa midawa kibao,nishangaa leo kusoma kumbe Godman ni wa vichaa.
Kuhusu mleta maada pole sana kwa kweli.
in addition umpeleke kwa watu wa dini kufuata imani yake apigwe maombi mazito... Nawe personally umuombe sana mungu na utoe sadaka ukinuia mungu akutatulie huo mtihani
Mkuu pole na majaribu ya dunia, ila hujafafanua ushoga wa huyo mwanao ni wa mrengo gani! anafanya au anafanywa? Nakushauri kama umebaini mtu yeyote anayeshirikiana naye kwenye vitendo hivyo vya kishoga utafute msaada wa kisheria kwanza. mengine yatafuata..pia kama ni muumini wa dini mwombe mungu sana amuepushe mwanao na hii laana!Habari wana jf.
Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu. Roho inaniuma lakini sina cha kufanya.
Dini gani? Maana kuna dini na mambo haya dah
hapo ndio inafika wakati naona bora mungu anijalie nipate watoto wa kike tu waje kuwa malaya,kuliko wa kiume unafanana nae kila kitu lakin linakuja kuwa bwabwa.inauma hii.Habari wana jf.
Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu. Roho inaniuma lakini sina cha kufanya.
Habari wana jf.
Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu. Roho inaniuma lakini sina cha kufanya.