Nini Dawa ya Ushoga?

Sina uhakika na hili, ila nijuavyo mimi Godman ni dk wa Vichaa.
leo umenifumbua,kuna jamaa yangu alikuwa akimpeleka mama yake kwa Godman wakati ana kisukari,alikuwa anapewa midawa kibao,nishangaa leo kusoma kumbe Godman ni wa vichaa.
Kuhusu mleta maada pole sana kwa kweli.
 
Mfungie ndani! kuna mji nilikua jamaa m1 mwny familia alikua shoga, ndg zake wakaona anawachafua wakam2mia vbka wakamuua!
 
Mfungie ndani! kuna mji nilikua jamaa m1 mwny familia alikua shoga, ndg zake wakaona anawachafua wakam2mia vbka wakamuua!

Kaka ushauri wako wa ajabu sana ni bora ungekaa kimya-kaka hili suala lipo sana mara nyingi hutokea kwa namna mbili moja ni kama wenzangu walivyochangia kuwafungu ndugu ndani kisha unawalaza na wanao huyo kimsingi wanaweza kufanya chochote pasipo ww kugungua kwa uwepesi!la pili hili suala la watoto wakiwa wadogo tunawapeleka bording ndio zao la mambo haya cha kufanya mhamishe shule ss hv haraka tu kisha kuwa nae karibu kwa 100 percent!bado muda upo!
 
aah imeniuma pole mkuu lakini, nways hujachelewa embu ufuate maushauri hayo na kumpeleka kwa watoa ushaurii kabla kijana hajahalibikiwa zaidi mmh!
pia kuwa nae karibu huyo mtoto jaman mmh!
 
Muwe na busara wakati mwingine msikoment kama mpo uwanja wa fisi mnakunywa mataptap Godman alikuwa medical officer,kabla ajaenda zimbabwe kuchukua masterz,then alienda John hopkins USA huku akasomea jinsi ya kutibu mbali na vichaa,ana specialist in kutibia mateja, ******* (wa ina zote) kwa kuwa alikuwa MO Anatibu mpaka malaria na hicho kisukari. Na kwa kuwa ameishi na kufanya kazi USA kama daktari anapenda kutumia dawa na style ya tiba za USA. So huyo mama mwenye kisukari pengine anapata tiba bora kuliko walio wengi Kwa wataalamu wa magonjwa ya hakili Ugay ni ugonjwa na unatibika . Huyu mtoto anaitaji kusoma na baadae awe na maisha yake.Tubadilikeni jamani,karne ya kufungia watoto wenye matitizo ya afya imepitwa na wakati ampeleke ,then aje hapa atuambie.

http://en.wikipedia.org/wiki/Conversion_therapy

leo umenifumbua,kuna jamaa yangu alikuwa akimpeleka mama yake kwa Godman wakati ana kisukari,alikuwa anapewa midawa kibao,nishangaa leo kusoma kumbe Godman ni wa vichaa.
Kuhusu mleta maada pole sana kwa kweli.
 
Hiki Kiama

hebu tufunge na kuomba kwa ajili ya mtoto

"In every situation, God has something to say
 
Habari wana jf.

Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu. Roho inaniuma lakini sina cha kufanya.
Mkuu pole na majaribu ya dunia, ila hujafafanua ushoga wa huyo mwanao ni wa mrengo gani! anafanya au anafanywa? Nakushauri kama umebaini mtu yeyote anayeshirikiana naye kwenye vitendo hivyo vya kishoga utafute msaada wa kisheria kwanza. mengine yatafuata..pia kama ni muumini wa dini mwombe mungu sana amuepushe mwanao na hii laana!
 
usikute umempeleka mtoto boarding scul maana zinaharibu watoto. nadhani stage ndogo na umri ni pm ntakupa ushauri wa kina
 
Dini gani? Maana kuna dini na mambo haya dah

Kama mkristo mpeleke akaombewe na kiongozi wa dhehebu lako... kama muislam mpeleke kwa sheikh akapigwe dua... Nawewe binafsi chukua muda wako umuombe mungu amuongoe.. Yeye husikia vilio vyetu... Pia uchukue na maamuzi/ushauri positive unaopewa na wadau wengine
 
hebu jaribu kumhamisha shule, mpeleke kijijini kwenu (kama huko hawana hayo mambo), itasaidia sana, maana vijijini hawana habari za ngono ya jinsia moja. pia atajiskia aibu kuliwa na pia huko hatopata mlaji
 
Umejuaje kama mtoto wako ni shoga? Kakuambia yeye ni shoga? ulimuona anafanya mambo ya kishoga?

Au umejisemea tu kama mtoto wako ni shoga.
 
umepre-judge ama una uhakika????

ka unahisi tu hebu fuatilia nyendio zeke pia angali huwa analala na nani chumbani na nani ni marafiki zake.
 
Habari wana jf.

Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu. Roho inaniuma lakini sina cha kufanya.
hapo ndio inafika wakati naona bora mungu anijalie nipate watoto wa kike tu waje kuwa malaya,kuliko wa kiume unafanana nae kila kitu lakin linakuja kuwa bwabwa.inauma hii.
 
Habari wana jf.

Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu. Roho inaniuma lakini sina cha kufanya.

anza kumfanyisha mazoezi magumu ili awe anachoka kiasi cha kulala kama pono pia itamsaidia..

duu hatari sana pole mkuu inapain mbaya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom