vitu ambavyo sivipendi duniani ni USHOGA NA UTEJA hakika kuliwa kiboga na dume lenzako tena unazungusha nyonga ni laana isiyo na kipimo na maandiko yalisema kua hakuta kua na gharika au maangamizo ya moto kama sodoma lakini mda si mrefu gharika la moto litarudi
Huwa ni makusudi tu mkuu
natafuta nchi ya kwenda kuishi bila stress za hao watu sijui ni ipi wadau nijuzeniMungu atuepishe tu mkuu,maana hii ni zaidi ya laana
Siyo makusudi, ushoga husababishwa na mazoea pamoja na mazingira ya kifirauni anayokutana nayo mtu ambayo hatimae ndo yanakuwa ni tabia ya huyo mtu
Nimeona mashoga wengi wakiombewa na Tb Joshua kwenye Emmanuel TV wanapona ........it's a demonic possession
vitu ambavyo sivipendi duniani ni USHOGA NA UTEJA hakika kuliwa kiboga na dume lenzako tena unazungusha nyonga ni laana isiyo na kipimo na maandiko yalisema kua hakuta kua na gharika au maangamizo ya moto kama sodoma lakini mda si mrefu gharika la moto litarudi
Habari wana JF!
Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu.
Roho inaniuma lakini sina cha kufanya!
natafuta nchi ya kwenda kuishi bila stress za hao watu sijui ni ipi wadau nijuzeni