Nini Dawa ya Ushoga?

Wakuletwa

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
134
Reaction score
9
Habari wana JF!

Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu.

Roho inaniuma lakini sina cha kufanya!


 
duh! pole sana..inabidi ufanye kazi ya ziada muda bado una ina muepushe na ndugu ndugu watundu tundu mlaze kwenye chumba chake mwenyewe hio ni moja.
 
Nenda Godapet zahanati ipo Segerea migombani mwone Dr. Godman atakusaidia,yeye ni specialist wa hayo matatizo.POLE SANA MUNGU AWE NAWE
 
Unauonaje ushoga wake kama ana miaka 13?
 
Mkuu pole sana yaani imenigusa utadhani ni mtoto wangu. Kama una uwezo jaribu kumbadilishia mazingira then kuwa naye karibu. Halafu umpeleke kwa wataalamu wa saikolojia
 
pole mpendwa nimeumia kama mwanangu jamani...kuwa karibu na mtoto zaidi inaweza kusaidia
 
Pole sana, natumaini ushauri wa wachangiaji unafaa. Na pia jiulize ni nini kimechangia hilo tatizo.
 
na mambo yote usisahau kumpa fimbo za kutosha ili ajue anachofanya ni kibaya,
mpeleke kwa wataalam ikibidi wampige bomba na mambo mengine na chunguza hao marafiki zake ambao ndio "doers"-ili uwatenganishe naye
Pole sana mkuu
 
jamani inauma sana. Sasa wewe umegunduaje kuwa ni shoga. anatakiwa apelekwa kwa wanasaikolojia kwa ajili ya canselling.
 
pole sana mkuu, hilo neno ni zito sana kulitumia mtoto bado hajafikia huko kwa umri huo, naamini bado kuna nafasi ya kumrekebisha. Kuwa nae karibu ili upate kujua chanzo ni nini usitumie nguvu mtangulize mungu na pia ukiona bado hali inaendelea nenda kwa wataalamu/viongozi wa dini. Cha muhimu nikufuatilia nyendo zake zote kwa sasa na hao wenzake na ukiwabaini peleka kipigo cha maana tena wapeleke polisi kabisa.

inauma sana kwakweli hata hapa nilipo tayari hasira zimenipanda, unajua haya matatizo mara nyingi sana huwa yanasababishwa na ndugu ambao wewe unawahifadhi.
Ushauri wangu kwa wengine: tuwe na mazoea ya kuwakagua watoto wetu wanaporudi nyumbani, hii itasaidia sana kubaini tatizo mapema. Tupopamoja katika maombi kwa mungu
 
in addition umpeleke kwa watu wa dini kufuata imani yake apigwe maombi mazito... Nawe personally umuombe sana mungu na utoe sadaka ukinuia mungu akutatulie huo mtihani
 
Pole sana mdau!Usimuite shoga ni utoto tu unamsumbua na uhakika hajui anachokifanya,kwasasa kuwa naye karibu sana na muweke mbali na mazingira yeyote unayohisi kuwa huenda yanampelekea kufanya ujinga huo.Muweke chini na umueleze ujinga wake mara chache piga viboko pia inasaidia kumfanya aogope kufanya ujinga!
 
Pole sana Mungu atambadilisha tu, wasikilize wataalam wanavyokushauri.
 
Pole sana mkuu.. But uligundua vipi? Katika mazingira gani? I think ukifafanua itasaidia zaidi.. Ni vizuri kujua chanzo kabla ya ku offer possible solutions..
 
Mkuu 13 yrs ni umri mdogo sanaa.Cha msingi funguka zaidi ili uweze saidiwa.Bado watu wanashindwa kukupa msaada kwa kuwa maelezo yako yapo nusu nusu sana.

Wewe umemfuma akiliwa na nani? Na ana umri gani??
Kama ni mtu mzima ambaye asha anza kutema madin na kesha mtemea mara mbili tatu hiyo ni ishu nyingine.

Lakini kama umemfuma na watoto wenzake inawezekana ndiyo michezo yao kubong'oana huyu ni kumkata stick za kutosha mixer maonyo makari lazima aache.

Kikubwa kabla ya kumtafutia tiba lazima ujue kwanza je huo ushoga kaufanya kwa manufaa gani? Chanzo ni nin?? Je anahormon za kike??

Kama hana hormon za kike ni rahisi sana kuacha ushetan huo.

Kingine usimlaum mwanao inawezekana wew mwenyewe ndio chanzo cha ushoga wa mwanao.
Mazingira ashindayo na mahari pakulala analala na nan?
 
Nenda Godapet zahanati ipo Segerea migombani mwone Dr. Godman atakusaidia,yeye ni specialist wa hayo matatizo.POLE SANA MUNGU AWE NAWE

Sina uhakika na hili, ila nijuavyo mimi Godman ni dk wa Vichaa.
 
Nauliza tena ndugu, dalili za ushoga ulizionaje? ni kama vitu gani amefanya ukaona ni ushoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…