Nini dawa ya mtanzania anayeikashifu nchi yake?

Nini dawa ya mtanzania anayeikashifu nchi yake?

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,492
Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.

Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
 
1550953750357.png

Malizeni hili kwanza kabla hatuja mshukuru Mungu.
 
Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.

Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
We jamaa na wewe ni KIHIYO?Kwani kukashifu nchi kunasababishwa na nini?Si ni kashafa?Dawa ya mtu anayesababisha watanzani wakshifu Nchi ndo inabidi itafutwe.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom