Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,528
- 12,962
Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.
Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
It better ukastate clear ili vijana wakuelewe. Kuwa wanakashifu serikali ama nchi?