Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,391
- 1,907
ni kweli mipaka hiyo inahusu wanaichi wote wakiwemo viongozi. nadhani wewe umeangalia mipaka ya upande mmoja.demokrasia ina mipaka yake
Dawa ni kumpa elimu ya uraia na uzalendoNimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.
Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
1.elimuNimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.
Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
Hawana tofauti na wale watafute kiki wa Bongo movie,huoni kaka yao risasi 16 anazurura huko Ulaya akimtukana mama yake(Tanzania nchi yake) na kutaka nchi inyimwe misaada halafu hapohapo analilia mshahara na posho kusimamishwa,utalipwaje wakati ndio kinara wa kutaka tukuso misaaada kwa uroho wako binafsi.Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.
Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
Duuh! kwani jamaa shida yake ni serikali au nchi?Naona kama kuna shida ya uelewaji wa mada.Hawana tofauti na wale watafute kiki wa Bongo movie,huoni kaka yao risasi 16 anazurura huko Ulaya akimtukana mama yake(Tanzania nchi yake) na kutaka nchi inyimwe misaada halafu hapohapo analilia mshahara na posho kusimamishwa,utalipwaje wakati ndio kinara wa kutaka tukuso misaaada kwa uroho wako binafsi.
Happy ni shida Sana.TLHawana tofauti na wale watafute kiki wa Bongo movie,huoni kaka yao risasi 16 anazurura huko Ulaya akimtukana mama yake(Tanzania nchi yake) na kutaka nchi inyimwe misaada halafu hapohapo analilia mshahara na posho kusimamishwa,utalipwaje wakati ndio kinara wa kutaka tukuso misaaada kwa uroho wako binafsi.
dawa ni serikali kufanya Yaliyo mema kwa wananchi wakeNimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.
Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?