Nini dawa ya mtanzania anayeikashifu nchi yake?

Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.

Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?

hebu ni jibu maswali haya
1. nini maana ya nchi
2. nani ni mwana nchi
3. nani mwenye nchi
ukijibu haya then tutaenda hatua ya pili ya huyo nchi mwenyewe unae mtaka atoe adhabu
 
Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.

Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
Dawa yao ndogo sana
Vijana wapewe ajira, wakopesheke na mazingira ya biashara yawe mazuri, pia bila kusahau kuwa watu wana uhuru wa kutoa mawazo lakini kikubwa zaidi tuweze kutofautisha kati ya kusema ukweli na kukebehi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.

Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
Kwani dozi kama ile ya kina Saanane na Azory haitoshi???

(Mungu awawekee mkono wake huko walipo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii.

Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
Kusema kweli vijana wengi hawampendi Magufuli na viongozi wa CCM hata hasira zao ambazo ww unasema ni matusi wanazielekeza kwa hivyo vitu viwili. Vumilia tu hivyo viwili visipokuwepo hutasikia wakitoa lugha za kuudhi
 
Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 katika Ibara ya 18 Ibara ndogo ya kwanza imetoa haki ya kila raia kuwa na uhuru wa kutoa maoni kwa maana ya kujieleza na kutoa nje mawazo kuhusu masuala mbalimbali na pia kupokea na kuto taarifa kutoka katika chombo chochote. Nanukuu:

"Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru
kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta,
kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo
chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa
mawasiliano yake kutoingiliwa kati."
 
Toa maoni yako hakuna shida lakini usitukane waka kutoa maneno ya kashfa kwa mamlaka...hilo hatukubali hata kidogo na utashughulikiwa tu hakuna namna nyingine.
 
Mimi niko katika katiba.Huko kwa kuwashughulikia na kuwatesa wapinzani siko mimi.Nyie endeleeni tu.
 
una comment kibweka na wewe haya pole sana...
Mkuu,with all due respect, katika hizi siku mbili tatu haupo katika hali nzuri kimawazo.Una mtanziko mkubwa sana.Unatatarika.Utetezi wako wa siku nyingi kwa "al-watan Jiwe" una backfire!Looh!That's bad!
 
Back
Top Bottom