Nini dawa ya jirani mkorofi

Kweli inategemea na sehemu unayoishi,kila mtu aishi sehemu ya hadhi yake,mimi sehemu niliyohamia baada ya kuolewa ni balaa,
mtaa umefurika Watu asubuhi nikitoka kwenda job wamekaa vibarazani nikirudi namekaa na kanga vifuani,
Sasa nikienda kukaa nao tutaongea nini?we don't have common language,zaidi ya salamu Sina la kuwaambia,nawaza Sijui watakuwa wananiona JIRANI MKOROFI,Nataka nihame,
 
Back
Top Bottom