Nini dawa ya jirani mkorofi

Sasa unaweza ukawa huna VIWALO vya kumzidia ubishoo!

Neylu

Ha! ha! ha! .... umenikumbusha kitu hapa

Kuna polisi walimkamata mhalifu ... polisi akajigamba akamwambia jamaa "Si unajifanya f.ala sio! ... sasa mimi ni f.ala zaidi yako"

N.B:

MODS Neno f.ala sio tusi ... hata kwenye kamusi ya TUKI lipo

f.ala nm [a-/wa-] (si rasmi) imbecile, unwise, unreasoning, witless,

Hahahaaa.... Yaani kweli BAN ni noooma..! Ndugu ulivyojiwahisha haraka haraka ili usilambwe BAN!!! Mie hooooiii..!!
 
Kwani kila jirani lazima kujichanganya naye...mtakuja kuzoea majambazi na wachuna ngozi kisa umbea wa kutaka kumjua jirani...
 
uswahilini kweli shida
sasa ukorofi wake uko wapi hapo?
Mtambuzi i am sure una articles za kuongelea hili la watu kukasirika wasiposalimiwa

its about time aisee
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa.... Yaani kweli BAN ni noooma..! Ndugu ulivyojiwahisha haraka haraka ili usilambwe BAN!!! Mie hooooiii..!!

Unaogopa ban balaa. Sasa kama neno la kawaida si ungeandika "****" badala ya kuweka vidoti!
BTW nimecheka

Neno la kawaida?! ... wewe platozoom kwako mwenyewe umeona umeliandika limegoma kutokea vimetokea vidots ****

Sasa cha kufia nini ... ndio maana mimi nikaamua nijisalimishe mapema kwa Mods! ...

Vijana wana msemo wao mmoja wanasema ...... "Wasiwasi Akili" ..lol
.
 
Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama. Usishindane na mtu bila sababu, ikiwa hakukudhuru kwa lolote.
Mithali 3:29-30.
 
Never mind him. Mind your own business.

Yakimfika atawatafuta. Mifano kama hiyo ipo mingi sana.
 
Kheri ya jirani huyo kuliko ukiwa na jirani mchaga au muhaya....wanao amka usiku kusogeza alama za mipaka.....!
 
:bange:[FONT=comic sans
ms]Umepakana na jirani ambaye kwa macho tu
anaonekana ni mwenye majvuno na visenti vyake uchwara....mnaishi
uswahilini...... hafungui kioo cha gari yake tinted akirudi.... akitoka
yale yale, watoto wake amewakataza kusalimia
watu na hata
kucheza na watoto wenzake... ni jirani asiyependa mawasiliano ya aina
yoyote........ nini dawa yake
[/FONT]:israel:

Msubirie apate MSIBA!
 
Kila mtu alitakiwa aishi mitaa kulingana na status yake ili kuepusha mitafaruku, wivu, kususiana na majungu. Ndio maaana kuna mitaaa ya kishuwa na mitaa ya uswazi.ikitokea umekosea njia ukaishi humo pasi ni lazima nawewe uishi kama wao ili kuepusha msala.
 
:bange:Umepakana na jirani ambaye kwa macho tu anaonekana ni mwenye majvuno na visenti vyake uchwara....mnaishi uswahilini...... hafungui kioo cha gari yake tinted akirudi.... akitoka yale yale, watoto wake amewakataza kusalimia watu na hata kucheza na watoto wenzake... ni jirani asiyependa mawasiliano ya aina yoyote........ nini dawa yake:israel:

huyo jirani mie nampenda sana.....kila mtu na hamsini zake......mambo ya kufuatana fuatana ndo yanayoleta maugomvi na mitafakaruku
 
Kwani kila jirani lazima kujichanganya naye...mtakuja kuzoea majambazi na wachuna ngozi kisa umbea wa kutaka kumjua jirani...

hapo sasa, sijui anataka jirani wa kushinda vibarazani, wajadili watu na kuombana mboga?????
 
Mkuu wewe unajua jirani Mkorofi wewe????.

Namwomba huyo wako aisee .. Tubadilishane na wangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ngoja siku yamkute humo getini ataamkia mtaa mzima tena atawapigia salute.
 
Sasa unaweza ukawa huna VIWALO vya kumzidia ubishoo!

Neylu

Ha! ha! ha! .... umenikumbusha kitu hapa

Kuna polisi walimkamata mhalifu ... polisi akajigamba akamwambia jamaa "Si unajifanya f.ala sio! ... sasa mimi ni f.ala zaidi yako"

N.B:

MODS Neno f.ala sio tusi ... hata kwenye kamusi ya TUKI lipo

f.ala nm [a-/wa-] (si rasmi) imbecile, unwise, unreasoning, witless,

Failure.
 
Nanyi pandishaeni vioo vya gari zenu na mfanye kama anavyofanya yeye. Akipata matatizo ndio atakumbuka kama ana majirani ambao si wanyama bali ni binadamu.

Back
Top Bottom