Nini chanzo cha USA kupoteza ushawishi

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
1,450
3,379
Je ni kwanini kwa sasa marekani anaonekana kupoteza ushawishi

Yaan kawa kama mbwa anayebekwa bweka tu lakin hana meno

Je au ndo kwamba hakuna marefu yasiyo na mwisho

Je utawala wa dunia wa America ndo umefika kikomo? Au anavuta mda aje alipue watu

Kwanini saiv anachezewa sana why
 
Umeandika kama unajadili issue ya vigodoro. Ebu kafanye tena research halafu uje u edit thread yako.
 
Ndugu Mayala B Kabla kabisa ya kuuliza swali hilo kwamba "Nini chanzo cha USA kupoteza ushawishi?" Ni vyema zaidi ungetanguliza jambo hili;
  • Utueleze kwanza ni kwa nini unadhani kwamba USA imepoteza ushawishi?
Baada ya hapo ndipo tutaendelea na mjadala.
 
Je ni kwanini kwa sasa marekani anaonekana kupoteza ushawishi

Yaan kawa kama mbwa anayebekwa bweka tu lakin hana meno

Je au ndo kwamba hakuna marefu yasiyo na mwisho

Je utawala wa dunia wa America ndo umefika kikomo? Au anavuta mda aje alipue watu

Kwanini saiv anachezewa sana why
Amepoteza ushawishi kwasababu nchi nyingi zilizokuwa na umaskini zimekuwa kiuchumi mfano China hivyo kupoteza ushawishi ingawa mpaka sasa uchumi robo WA dunian nzima unashikiliwa na Marekani lakini pia bado vikwazo vyake vimekuwa na effect kwenye nchi hixo mfano Venezuela, Iran , North Korea , Zimbabwe. Vikwazo vya mda mchache viliyumbusha uchumi wa uturuki. Kuwait ndio ilisaidia uturuki kiasi cha 14 USD billions ili kuokoa uchumi wake usiangamie
 
Je ni kwanini kwa sasa marekani anaonekana kupoteza ushawishi

Yaan kawa kama mbwa anayebekwa bweka tu lakin hana meno

Je au ndo kwamba hakuna marefu yasiyo na mwisho

Je utawala wa dunia wa America ndo umefika kikomo? Au anavuta mda aje alipue watu

Kwanini saiv anachezewa sana why
 
Je ni kwanini kwa sasa marekani anaonekana kupoteza ushawishi

Yaan kawa kama mbwa anayebekwa bweka tu lakin hana meno

Je au ndo kwamba hakuna marefu yasiyo na mwisho

Je utawala wa dunia wa America ndo umefika kikomo? Au anavuta mda aje alipue watu

Kwanini saiv anachezewa sana why
At the same time unakunywa ARV zao
 
Kuna watu humu ni "Belligerents" tu, kila wakati ni kuombea vita tu utafikiri vita vikipiganwa wao watatajirika, very fooling mentality indeed.

Watu wenye akili wameshaona athari za vita pamoja na kwamba watashinda lkn madhara ya kibinadamu na kiuchumi hayapimiki.
 
Kuna watu hawataki kusikia kabisa hiki ulichosema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom