Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 371
wakome wanajiona wajanja kuwa mke wangu hana mda na mimi zaidi ya maswala ya maendeleo badala washtuke eti wanajisifu,, sina muda na wewe sababu kuna mwingine nimempa muda... ha ha ahahaha kubwa kuliko eti monopose uwiiiiiii wakati wa ujamaa naow days khe he heh ehe he nigugumie mengineHahaha wewe usipitishe dumu la petrol kwenye mafuta
My dear Kwani wewe unavyoenda kucheat ni unalipiza kisasi? Mwanamke na yeye anacheat Kwa sababu zake binafsi, kafuata hela, six packs, mapenzi tu n.k. Wote tumeumbiwa kutokuridhika, so ukiendekeza tamaa zako za mwili ndo basi tena
Aah basi hawalalamiki tena. Shikamoo nature yetu sote tehNarudia tena as for men sio cheating it's just nature. Ila Kama na nyie in nature,basi tuko ngoma droo. Sasa msilalamike Kama na nyie in nature yenu.
Eeh wenzio wakiona mke kanyamaza kimya ndo wanafurahi eti teh. Poor thingswakome wanajiona wajanja kuwa mke wangu hana mda na mimi zaidi ya maswala ya maendeleo badala washtuke eti wanajisifu,, sina muda na wewe sababu kuna mwingine nimempa muda... ha ha ahahaha kubwa kuliko eti monopose uwiiiiiii wakati wa ujamaa naow days khe he heh ehe he nigugumie mengine
Sio wakati mwingine, ni wakati wote maana hakuna anayeshikiwa bunduki ili acheat.Wakati mwingine ni personal decision tu
Nilisahau bi mkubwa. Cheating is a choice all the timeSio wakati mwingine, ni wakati wote maana hakuna anayeshikiwa bunduki ili acheat.
Aah basi hawalalamiki tena. Shikamoo nature yetu sote teh
Hivi brod darling ulisema hauna mdogo vile au? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni maamuzi tu ya mtu. You can decide to be faithful, na ukiamua utafurahia maisha. Love your mwenza, mfurahie na kumbuka kuwa ulifanya uamuzi sahihi kufanya nae maisha.
Labda kuna definition mpya ya upendo ambayo me siijui. You love your wife ila still you are hurting her emotionally and spiritually mmh?Hahahahaha finally we have come to an understanding. Ila kwa mwanaume smart anafanya mambo yake kwa Siri kubwa mkewe asijue japo in nature yetu. Sababu ya kufanya hivyo in kwa kuwa anampenda na hataki kumuumiza sababu bado mlio wengi hamjakubali kuwa hiyo in nature yetu. Labda tu mwanaume ushtukiwe. Lakini ukiona mwanaume anafanya mambo hayo kwa kukuonyesha waziwazi Juma huyo kukuchoka for good.
Labda kuna definition mpya ya upendo ambayo me siijui. You love your wife ila still you are hurting her emotionally and spiritually mmh?
"Cumming" is so overratedUjana una mengi, kuna wakati ukichepuka unajiona mjanja. It's like mtu anajiona kidume, rijali na anaweza kumlala mwanamke yoyote anayemtaka, pride pia.
Lakini inafikia wakati unaona "what for", nilimlala Asha nilifaidika nini? Zaidi sana umepoteza mengi. Mara nyingi tunayaona haya baada ya mda fulani kupita, ni wachache wanaweza kuanza mahusiano na kuwa waaminifu from the very beginning.
Ujana una mengi, kuna wakati ukichepuka unajiona mjanja. It's like mtu anajiona kidume, rijali na anaweza kumlala mwanamke yoyote anayemtaka, pride pia.
Ujana una mengi, kuna wakati ukichepuka unajiona mjanja. It's like mtu anajiona kidume, rijali na anaweza kumlala mwanamke yoyote anayemtaka, pride pia.
Lakini inafikia wakati unaona "what for", nilimlala Asha nilifaidika nini? Zaidi sana umepoteza mengi. Mara nyingi tunayaona haya baada ya mda fulani kupita, ni wachache wanaweza kuanza mahusiano na kuwa waaminifu from the very beginning.
Hahaha, yupo sis darling. Analima matikiti huko ruvu. Nikuitie mchonge dili, nitafurahi ukiwa shem darling.Hivi brod darling ulisema hauna mdogo vile au? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiongozi, hapo sina jibu la moja kwa moja. Najua wapo 40s, 50s hadi 60s wana michepuko hatari. Labda stress, pride, ujana(ili hali ni watu wazima), naamini zipo sababu nyingi tu lakini victims wengi ni vijana 18-35yrs.Vipi na watu wazima wanaochepuka?
Kiongozi, hapo sina jibu la moja kwa moja. Najua wapo 40s, 50s hadi 60s wana michepuko hatari. Labda stress, pride, ujana(ili hali ni watu wazima), naamini zipo sababu nyingi tu lakini victims wengi ni vijana 18-35yrs.