Nini chanzo cha mgogoro kati ya Marekani na Venezuela?

Nini chanzo cha mgogoro kati ya Marekani na Venezuela?

Umoja wa mataifa na bunge la Ulaya watoe kauli isikike Duniani dhidi ya vitendo vya Malrekani kwa Venezuela.
Vinginevyo wakae kimya daima ili watu wa Dunia wanyooshane.
Ulaya ni mbwa Koko tu hakuna kitu mule
 
CIA wapo kazini yote ni mafuta, Venezuela ndio inchi ya kwanza yenye reserves kubwa ya mafuta, Iran nae ajiandae ni mwendo wa propaganda zisizo na ukweli, ili mradi achukue mafuta.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Pgwny1BiCYk&t=71s&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D

Yaani hawana aibu Trump anakwambia wamechukua mafuta yao now wanayataka yaani ubabe tu na kuchukua rasilimali za watu kinguvu naona wameona reserves waliyo ichukua Iraq,Libya inakaribia kuisha so wameigeukia Venezuela.

View: https://m.youtube.com/watch?v=XbZZfpdF6iY&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D

UN hafanyi chochote ni sawa na jibwa lisilo na kucha wala meno,anachofanya US kwa Venezuela ni uhuni.

Kwani Maduro ndiye anatakiwa kuwa Rais wa Venezuela tu hakuna mtu mwingine anaweza kuwa Rais uko Ni yeye tu?
 
Vita inapaswa kuwa hivi sio unaua mamilioni kumpata mtu mmoja department of war naona inafanya kazi sawasawa
 
Kwani Maduro ndiye anatakiwa kuwa Rais wa Venezuela tu hakuna mtu mwingine anaweza kuwa Rais uko Ni yeye tu?
Sasa hilo ni swala la Wavenezuela wao ndio wanao amua. Hata hao Saudi wamekubali kuongozwa na Wafalme,China wamekubali kwenda na Xi so hata Wavenezuela wao ndio waamuzi sababu ndio taifa lao.
 
Kwa marekani wanaweza pata hata dawa za kufubaza makali ya ukimwi je kwa maduro walipata nini

Note:Jibu kwa ufupi tu Nina allergy ya kusoma utumbo mrefu
Kwa hiyo Wavenezuela wote wameungua?

Wanachopata wanajua Wavenezuela, nyie haviwahusu.
 
Kwa hiyo Wavenezuela wote wameungua?

Wanachopata wanajua Wavenezuela, nyie haviwahusu.
Acha kutetea ujinga, mfano hapa samia hakuchaguliwa kwa kura halali, instead aliwekwa kinguvu na tume yake na polisi wake huku akilindwa na wanajeshi wake, halafu useme watanzania wenyewe ndiyo wameamua kuongozwa na samia? Una akili wewe? Maduro alianza kupingwa na wananchi wa Venezuela kabla hata marekani hajaingia kuwaunga mkono, sawa tu na hapa, leo akija hata mkenya tu awaahidi watanzania kusaidia kumwondoa samia najua atapata full support ya watanzania walio wengi, sasa jeshi la samia likiingia na kuanza kuwaua hao wengi wanaompinga ni ujinga kusema eti hao wananchi ndiyo wenye maamuzi ya nani awaongoze, maamuzi wanayo sawa, na walishaamua, ila maamuzi yao hayakuzingatiwa, kwa hiyo maamuzi yao hayana nguvu, hence wakahitaji nguvu kutoka nje, kama ambavyo Kura isingeweza kumwondoa maduro madarakani, ndivyo ilivyo ngumu kwa mtanzania kumwondoa samia madarakani kwa kutegemea kura.
 
Tatizo lako bendera fuata upepo.

View: https://m.youtube.com/watch?v=XbZZfpdF6iY&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D
Miaka kazaa iliyopita US alituma Mercenaries kwa ajili ya kumteka Maduro wakadakwa, baada ya kuona wamechemka ndipo leo wakaamua kufanya uhuni wa leo.

Hizo sijui Wavenezuela hawamtaki Maduro propaganda kama Ghadafi na Sadam, mwisho wa siku ukweli ukajulikana. US anataka mafuta ya Venezuela kwa lazima/kihuni.
 
Back
Top Bottom