Nini chanzo cha mgogoro kati ya Marekani na Venezuela?

Nini chanzo cha mgogoro kati ya Marekani na Venezuela?

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Leo tarehe 3/Januari/2026, vyombo vya habari vya Magharibi vimetoa taarifa ya kushambuliwa kwa Caracas.

Mshambuliaji ni Washington.

Wanajumuiya wenzangu wa Jukwaa hili maridhawa, ninaomba mwenye nondo za chimbuko la mgogoro huu azishushe hapa ili sote tupate maarifa.

By the way...hivi kuna Rais yeyote wa Marekani aliewahi kumaliza Awamu zake mbili za urais bila 'kupiga' sehemu?
 
CIA wapo kazini yote ni mafuta, Venezuela ndio inchi ya kwanza yenye reserves kubwa ya mafuta, Iran nae ajiandae ni mwendo wa propaganda zisizo na ukweli, ili mradi achukue mafuta.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Pgwny1BiCYk&t=71s&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D

Yaani hawana aibu Trump anakwambia wamechukua mafuta yao now wanayataka yaani ubabe tu na kuchukua rasilimali za watu kinguvu naona wameona reserves waliyo ichukua Iraq,Libya inakaribia kuisha so wameigeukia Venezuela.

View: https://m.youtube.com/watch?v=XbZZfpdF6iY&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D

UN hafanyi chochote ni sawa na jibwa lisilo na kucha wala meno,anachofanya US kwa Venezuela ni uhuni.
 
USA huwa hawapendi watu viherehere na wajuaji kwenye mambo yao.Lazima wakupe makwenzi ili wengine wapate kujifunza in a hard way!
 
CIA wapo kazini yote ni mafuta, Venezuela ndio inchi ya kwanza yenye reserves kubwa ya mafuta, Iran nae ajiandae ni mwendo wa propaganda zisizo na ukweli, ili mradi achukue mafuta.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Pgwny1BiCYk&t=71s&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D

Yaani hawana aibu Trump anakwambia wamechukua mafuta yao now wanayataka yaani ubabe tu na kuchukua rasilimali za watu kinguvu naona wameona reserves waliyo ichukua Iraq,Libya inakaribia kuisha so wameigeukia Venezuela.

View: https://m.youtube.com/watch?v=XbZZfpdF6iY&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D

UN hafanyi chochote ni sawa na jibwa lisilo na kucha wala meno,anachofanya US kwa Venezuela ni uhuni.

Bora wachukue kila kitu kuliko kutawaliwana kiongozi asiye jali haki za raia wake
 
Bora wachukue kila kitu kuliko kutawaliwana kiongozi asiye jali haki za raia wake
Sasa yeye achukue mali za Venezuela kama nani?

Wangewaacha raia wake waamue na sio yeye kuingilia. Halafu na wewe unaamini kabisa US wakichukua kila kitu Venezuela watanufaika? Alihaidi kuleta demokrasia Iraq na Libya kwa proganda za uwongo leo Iraq na Libya hazitawaliki, zimekuwa vichaka vya magaidi, wamiiba mafuta Iraq na Libya. Hamna chochote wanachotaka ni mafuta ya Venezuela, Venezuela ndio nchi namba moja yenye Reserves kubwa ya mafuta duniani,US hapigani vita isiyo na faida kaingia Iraq na Libya kachukua mafuta na sasa anayataka ya Venezuela.
 
Wachukue tu kuliko kutawaliwa na nguruwe mwitu anaetesa raia wake
 
Bora wakose wote kuliko wajinga wachache wamiliki na kumwaga damu za watu wasiokua na hatia
Daaaa Venezuela udikteta ulishamiri anzia Hugo Chavez sasa Maduro kwa 12yrs wamejuta kumjuaa .....watu 6mil wamekimbia nchi miaka 15 hii...hatariiii umasikini rushwa hali mbaya hakuna kazi wala security kbsss
 
Sasa Kuna faidia Gani ya kulinda mafuta yasiyowasaidia wananchi wao?
 
Sasa Kuna faidia Gani ya kulinda mafuta yasiyowasaidia wananchi wao?
Swali mujarabuuu sanaàs hata hapa Tz migodi uranium gas mafuta ......wanafaidi kikundi watu wavhache na familia zao effects kwa wanyonge iko wapi ? Erti serikali dalali boda boda 500 kwenda arabuni ku deliver vitu ....wanajisifia ajira rasmi kupita serikali hawaoni aibuuu ?? Ndio nchi tumefikia hapo ??? Aibuuuu
 
Leo tarehe 3/Januari/2026, vyombo vya habari vya Magharibi vimetoa taarifa ya kushambuliwa kwa Caracas.

Mshambuliaji ni Washington.

Wanajumuiya wenzangu wa Jukwaa hili maridhawa, ninaomba mwenye nondo za chimbuko la mgogoro huu azishushe hapa ili sote tupate maarifa.

By the way...hivi kuna Rais yeyote wa Marekani aliewahi kumaliza Awamu zake mbili za urais bila 'kupiga' sehemu?

Maduro alichukua uongozi baada ya kifo cha Rais Chaves mwaka 2013, sawa ilivyokuwa Samia baada ya kifo cha Magufuli. Mwaka 2018 ilipofanyika uchaguzi wa Rais, Maduro alitangazwa mshindi kupitia Tume aliyoiunda, sawa na alivyofanya Samia. Mwaka 2019, Bunge la Venezuela lilimtangaza Maduro kuwa Bunge hilo halimtambua kama Rais wa Venezuela kwa sababu alipora uchaguzi. Kufuatia tangazo hilo la Bunge, na kile kilichoshuhudiwa na watazamaji wa uchaguzi wa kimataifa, mataifa 50 Duniani yalitangaza kutomtambua Maduro kama Rais wa Venezuela.

Mwaka 2024, kwenye uchaguzi uliofuatia, ilikuwa wazi kuwa mpinzani wa Maduro ndiye aliyeshinda uchaguzi, lakini tume ya Maduro haikumtangaza, ikamtangaza Maduro. Mataifa mengi Duniani yakakataa kumtambua Maduro kama Rais wa Venezuela.
Mafuro, akiwa anakabiliwa na upinzani mkali wa ndani na wa kimataifa, akaamua kushirikiana na makundi makubwa tajiri ya biashara ya madawa ya kulevya, na kisha kununua silaha nyingi ili kujilinda.
Kiufupi Maduro amekamatwa kiurahisi na Marekani, kutokana na kuwa na upinzani mkubwa ndani ya nchi yake mwenyewe.

Maelezo zaidi, soma hapa:

Nicolás Maduro Moros became president of Venezuela following Hugo Chavez’s death in 2013 and declared victory in a presidential election in 2018. In 2019, the National Assembly of Venezuela invoked the Venezuelan constitution and declared that Maduro had usurped power and was not the president of Venezuela. Since 2019, more than 50 countries, including the United States, have refused to recognize Maduro as Venezuela’s head of state.
In the July 2024 Venezuelan presidential election, Maduro again declared himself the victor despite evidence to the contrary. The United States joined many other countries in refusing to recognize Maduro as the legitimately elected president in the 2024 contested election.
Maduro helped manage and ultimately lead the Cartel of the Suns, a Venezuelan drug-trafficking organization comprised of high-ranking Venezuelan officials. As he gained power in Venezuela, Maduro participated in a corrupt and violent narco-terrorism conspiracy with the Revolutionary Armed Forces of Colombia (FARC), a designated Foreign Terrorist Organization. Maduro negotiated multi-ton shipments of FARC-produced cocaine; directed the Cartel of the Suns to provide military-grade weapons to the FARC; coordinated with narcotics traffickers in Honduras and other countries to facilitate large-scale drug trafficking; and solicited assistance from FARC leadership in training an unsanctioned militia group that functioned, in essence, as an armed forces unit for the Cartel of the Suns.
In March 2020, Maduro was charged in the Southern District of New York for narco-terrorism, conspiracy to import cocaine, possession of machine guns and destructive devices, and conspiracy to possess machine guns and destructive devices.
After initially offering a reward offer of up to $15 million for information leading to the arrest and/or conviction of Maduro in 2020, the Department of State on January 10, 2025, increased the reward offer to up to $25 million. On August 7, 2025, the Department announced the further increase in the reward offer to up to $50 million after the Department of Treasury sanctioned Cartel of the Suns as a Specially Designated Global Terrorist on July 25, 2025. As leader of Cartel of the Suns, Maduro is the first target in the history of the Narcotics Rewards Program with a reward offer exceeding $25 million.
 
Bora wakose wote kuliko wajinga wachache wamiliki na kumwaga damu za watu wasiokua na hatia
Hivi unacho kiongea unakifikiria wakose wote? Hao wote unamzungumzia US na raia wake? US na Maduro?

Hivi unajua US hafanyi missions/vita isiyo na faida? Kwa kuingia Venezuela manake anaanza kuchukua mafuta rasmi, kwa term anazotaka yeye.

Ushajiuliza wananchi watapata nini?

Ndio maana nimekuuliza umekiona wanacho kipigia Libya na Iraq baada ya kuvamiwa na US?

Au unazani Sadam na Ghadafi ndio walikomelewa?
 
Kwa marekani wanaweza pata hata dawa za kufubaza makali ya ukimwi je kwa maduro walipata nini

Note:Jibu kwa ufupi tu Nina allergy ya kusoma utumbo mrefu
 
Umoja wa mataifa na bunge la Ulaya watoe kauli isikike Duniani dhidi ya vitendo vya Malrekani kwa Venezuela.
Vinginevyo wakae kimya daima ili watu wa Dunia wanyooshane.
 
Back
Top Bottom