Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

Kweli ila dah! Jina lako na avatar yako ndyo vinanimaliza kabsa [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mm jina lako tu hoi nahc kama utakuwa unacheza mpira nchi za nje huko yaan
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mm jina lako tu hoi nahc kama utakuwa unacheza mpira nchi za nje huko yaan
[emoji23] [emoji23] duh! Mbona umeota ndoto mbaya ivyo nchi za nje huwa nazskia kwenye redio tu
 
Haya mambo ndiyo yanatukwamisha hata kuoa.
Maana, kijana nilishajiandaa kila kitu niko vizuri.
Lakini nawaza Mahari kubwa kwa binti, bado sherehe!!

Hadi nachoka mkuu.
 
Ni ulofa wako. Ukiwa lofa, hata m2 utapigwa. Wastani wa mahari haipaswi kuzidi laki 3, labda mwanamke awe bikra.
 
Malizia sentence iyo usishangae.

Alfu ujue jina lako kulitaja ni gumu alfu zuri kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
takufundisha buaaaaana
 
Back
Top Bottom