Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

Wewe tu mkuu ndio unaona nyingi kwa sababu mwisho wa yote walio wengi wanatoa hizo mahari tena kwa moyo mmoja bila kuona hata maumivu.

Kasahau hali ya uchumi ipo njema ... pesa ipo na ndio maana watu wana mudu hizo ghama, hali zingekua mbaya mahali zingekua chini kama muanzisha mada anavyotaka.
 
ni kwa sababu ilikuwa zamani kama unataka vya zamani basis rudisha miakaa nyuma
 
Uzuri wa mwanamke na ukubwa wa mahari ni vitu viwili tofauti,labda sana sana naona uwezo wa familia na mitazamo ya wazazi inachangia sana.
 
Kwanza;Wazazi baadhi ya wazazi wengi wamekuwa wakiongeza mambo ambayo hayana umuhimu sana,utakuta binti ametaja mahar yake ya kawaid tu lkn baada ya hapo kuna vitu hivyoooo vikiorodheshwa hapo kitu kinawezakufika kweny milion 4 na kuendelea that's too bad

Pili;Binti mwenyew kutaka ufahar,watu wajue kwamba ameolewa kwa pesa nyingi kana kwamba yeye ni mzur sana au ana kitu kinachofanya mahari yake ni kubwa

Japo siamini kama binti kuweka mahari kubwa huwa anafanya kwa ajili ya kumkomesha mwanaume Ila tu ni kama mashindano imekuwa baina ya familia,ndugu,majirani

Inapendeza zaid kukubaliana kwanza na mtarajiwa wako kiasi atakachoweza kukitoa then mtu ukifika kwa wazazi unasema tu jmn pesa yenu isizidi kias kadhaaaaaaaaa tofaut na hapo patachimbika

Mwanamke msimamo
hili limepelekea sana dada zetu wengi kuozea nyumbani,
 
Maharishi ya sasa ni fedha ni kidogo sana wakati huo tulipangiwa mahari ya ng'ombe saba mbuzi kumi kondoo wanao tembea si kwa thamani ya pesa ukizidisha hapo wastani ni kama 9500000 sasa hivi hamna hiyo kitu uvivu tu wa waoaji
 
Wazazi wengi hawaamini binti zao kama watadumu kwenye ndoa....ndio maana wanapiga bei ya FULLY FURNITURE ili binti hata akirudi home atleast anapakuanzia.,.. kuna jamaa alipigwa mahari FURNITURE ya nyumba nzima hadi KING,AMUZI......
 
Unatoa mahari milioni 4 aafu unaenda kulipa deni la bodi ya mkopo.
Usenge huu,
Tena wanavyokuozesha wanajipiga piga, kasoma mpaka chuo kikuu!!
Kumbe unahamishiwa deni
 
Back
Top Bottom