Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

Hata mimi najiandai kwenda kutoa mahar kwao na mbitiyaza sijui baba mbiti atanambia sh ngap
 
mtoto wa kike anatumia gharama kubwa sana mpaka kuolewa. kwa mfano kibaiolojia mtoto wa kike atahitaji ela ya ziada kipindi cha kubalehe na mzazi makini lazima ataziweka hizo gharama kwenye mahari
 
Sw
Kwanza;Wazazi baadhi ya wazazi wengi wamekuwa wakiongeza mambo ambayo hayana umuhimu sana,utakuta binti ametaja mahar yake ya kawaid tu lkn baada ya hapo kuna vitu hivyoooo vikiorodheshwa hapo kitu kinawezakufika kweny milion 4 na kuendelea that's too bad

Pili;Binti mwenyew kutaka ufahar,watu wajue kwamba ameolewa kwa pesa nyingi kana kwamba yeye ni mzur sana au ana kitu kinachofanya mahari yake ni kubwa

Japo siamini kama binti kuweka mahari kubwa huwa anafanya kwa ajili ya kumkomesha mwanaume Ila tu ni kama mashindano imekuwa baina ya familia,ndugu,majirani

Inapendeza zaid kukubaliana kwanza na mtarajiwa wako kiasi atakachoweza kukitoa then mtu ukifika kwa wazazi unasema tu jmn pesa yenu isizidi kias kadhaaaaaaaaa tofaut na hapo patachimbika

Mwanamke msimamo
Sawa umeolewa kwa mahari kubwa then .......?? what? kwani thamani yako ipo kwenye mahari!!
 
mtoto wa kike anatumia gharama kubwa sana mpaka kuolewa. kwa mfano kibaiolojia mtoto wa kike atahitaji ela ya ziada kipindi cha kubalehe na mzazi makini lazima ataziweka hizo gharama kwenye mahari
Alaaaaaaaaahhhhhhhhhh
Haha haha haha haha haha haha
 
Yaani sometyms huwa najiuliza hizi mahari ikiwa kubwa na sie tukikubali kutoa na kuwachukua ni kwamba tukawatumie ipasavyo au?

Mzee anatoza mahari kumkomoa mtoto wa mwanaume mwenzie ila fresh mi nakubuli kutoa ila kwenye show hiyo papuchi matumizi yake nisihojiwe. Ndio nimemaliza hivyo mie.
 
Unalipia zile gharama za kumkaza mtt wao kabla hujaoa
 
Kushuka kwa thamani ya shilingi.
 
Hahaha saivi ukiambiwa nakuozesha kwa laki 1 huwezi kuamini Mara utasema uyo mke anaukimwi nin hahahahaha
 
Ukipata mwanamke aijuaye thamani ya ndoa na akupendae mahari anakwambia ujikadirie tu kutokana na uwezo wako, Mimi nilitoa kwa juzu 30 na msahafu......ila niliwahi toa mahari mil2 kisha nikasepa maana nilikuwa naenda kuoa Zombi
 
Back
Top Bottom