Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

Hata mimi najiandai kwenda kutoa mahar kwao na mbitiyaza sijui baba mbiti atanambia sh ngap
 
Hakuna cha mahari kuwa juu wala nini!
Siku izi tunabeba tyuu [emoji6]
 
mtoto wa kike anatumia gharama kubwa sana mpaka kuolewa. kwa mfano kibaiolojia mtoto wa kike atahitaji ela ya ziada kipindi cha kubalehe na mzazi makini lazima ataziweka hizo gharama kwenye mahari
 
Sw
Sawa umeolewa kwa mahari kubwa then .......?? what? kwani thamani yako ipo kwenye mahari!!
 
mtoto wa kike anatumia gharama kubwa sana mpaka kuolewa. kwa mfano kibaiolojia mtoto wa kike atahitaji ela ya ziada kipindi cha kubalehe na mzazi makini lazima ataziweka hizo gharama kwenye mahari
Alaaaaaaaaahhhhhhhhhh
Haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23]
 
Yaani sometyms huwa najiuliza hizi mahari ikiwa kubwa na sie tukikubali kutoa na kuwachukua ni kwamba tukawatumie ipasavyo au?

Mzee anatoza mahari kumkomoa mtoto wa mwanaume mwenzie ila fresh mi nakubuli kutoa ila kwenye show hiyo papuchi matumizi yake nisihojiwe. Ndio nimemaliza hivyo mie.
 
Mahari msahafu tu unatosha, afu unakuta kitu kipya na sildi.
 
Unalipia zile gharama za kumkaza mtt wao kabla hujaoa
 
Kushuka kwa thamani ya shilingi.
 
Hahaha saivi ukiambiwa nakuozesha kwa laki 1 huwezi kuamini Mara utasema uyo mke anaukimwi nin hahahahaha
 
Ukipata mwanamke aijuaye thamani ya ndoa na akupendae mahari anakwambia ujikadirie tu kutokana na uwezo wako, Mimi nilitoa kwa juzu 30 na msahafu......ila niliwahi toa mahari mil2 kisha nikasepa maana nilikuwa naenda kuoa Zombi
 
Kama ni mweupe andaa ng'ombe 100
Mkuu ni mweupe kinoma unaweza zan mzungu hayo mahips ndo usiseme, sasa kama watanambia ng'ombe mia wakati mimi home kuna ng'ombe wasiozid 90 sijui hata itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…