Wewe utanitoza sh ngapi maana nataka nijiandaeKwanza;Wazazi baadhi ya wazazi wengi wamekuwa wakiongeza mambo ambayo hayana umuhimu sana,utakuta binti ametaja mahar yake ya kawaid tu lkn baada ya hapo kuna vitu hivyoooo vikiorodheshwa hapo kitu kinawezakufika kweny milion 4 na kuendelea that's too bad
Pili;Binti mwenyew kutaka ufahar,watu wajue kwamba ameolewa kwa pesa nyingi kana kwamba yeye ni mzur sana au ana kitu kinachofanya mahari yake ni kubwa
Japo siamini kama binti kuweka mahari kubwa huwa anafanya kwa ajili ya kumkomesha mwanaume Ila tu ni kama mashindano imekuwa baina ya familia,ndugu,majirani
Inapendeza zaid kukubaliana kwanza na mtarajiwa wako kiasi atakachoweza kukitoa then mtu ukifika kwa wazazi unasema tu jmn pesa yenu isizidi kias kadhaaaaaaaaa tofaut na hapo patachimbika
Mwanamke msimamo
Tutakubaliana tu muda ukifikaWewe utanitoza sh ngapi maana nataka nijiandae
Jibu mubashara kabisa 🙂Tutakubaliana tu muda ukifika
Hii ndyo the true definition of wife materialKwanza;Wazazi baadhi ya wazazi wengi wamekuwa wakiongeza mambo ambayo hayana umuhimu sana,utakuta binti ametaja mahar yake ya kawaid tu lkn baada ya hapo kuna vitu hivyoooo vikiorodheshwa hapo kitu kinawezakufika kweny milion 4 na kuendelea that's too bad
Pili;Binti mwenyew kutaka ufahar,watu wajue kwamba ameolewa kwa pesa nyingi kana kwamba yeye ni mzur sana au ana kitu kinachofanya mahari yake ni kubwa
Japo siamini kama binti kuweka mahari kubwa huwa anafanya kwa ajili ya kumkomesha mwanaume Ila tu ni kama mashindano imekuwa baina ya familia,ndugu,majirani
Inapendeza zaid kukubaliana kwanza na mtarajiwa wako kiasi atakachoweza kukitoa then mtu ukifika kwa wazazi unasema tu jmn pesa yenu isizidi kias kadhaaaaaaaaa tofaut na hapo patachimbika
Mwanamke msimamo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hii ndyo the true definition of wife material
Usikimbie bhana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nachukua tiz kidogoUsikimbie bhana
Utaota vigimbi bureNachukua tiz kidogo
HahahahaaUtaota vigimbi bure
Mazoezi inabidi nikufundshe mmHahahahaa
Loh akaaaaaaaa nitatoka misuli ya kifua bureMazoezi inabidi nikufundshe mm
Amna. Mm najua jinsi ya kufundisha ayo mazoezi kisasa hutotoka misuliLoh akaaaaaaaa nitatoka misuli ya kifua bure