Nini bia!....? Kunywa konyagi

Makonyagi

Member
Apr 16, 2009
40
1
Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii.
Weita pls lete moja bariiiidi.
ops hodi humu
 
Humu hakuna weita, unajihudumia mwenyewe tu,,,,,,,,,,
Hatuuzi konyagi baridi,,,,,
Kuna Tusker baridiiiiiiiiiiiiiiiiii Karibu
 
burrp! ops sory nimecheua kidogo tu.
enewei naweza kujisevia bibi mmoja wa moto? hiki kipupwe kinaniangamiza ndani kwa ndani kinoma
 
tehe tehe konyagi saaaafi sana kwa game ndefu.....karibu aisee
 
Makonyagi karibu! Masanilo is lost If found please bring him to the nearest pub!
 
tehe tehe konyagi saaaafi sana kwa game ndefu.....karibu aisee
Cku hizi kama sio mtaalamu unauziwa gongo baa na lebo ya TBS kabisa unaambiwa ni konyagi. Hasa baada ya kinywaji kukolea wahudumu wanakuchangamkia kiaina.
Uliona wapiapi konyagi leta hangover asubuhi kihivo? Au hamjagundua nini?
 
Yoyo musee, sant san bwan! burp!.
Tatizo konyagi usiitumie ukiwa na ratiba ya kujichua maana unaweza ukajichubua ohoo
 
Makonyagi karibu! Masanilo is lost If found please bring him to the nearest pub!

Mi napendelea sana Safari Lager...
Lakini nikiwa na game la kucheza zaidi ya dk120 napiga Konyagi mzinga mmoja tu nakamata kitu dah! Yo Yo usipime mzee hapo full mkesha
 
The Farmer unalima shayiri?? au kama unalima mapapai itasaidia sana at disposal kwani hata naweza kutengeneza mizinga miwili mitatu hivi.
 
Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii.
Weita pls lete moja bariiiidi.
ops hodi humu

burrp! ops sory nimecheua kidogo tu.
enewei naweza kujisevia bibi mmoja wa moto? hiki kipupwe kinaniangamiza ndani kwa ndani kinoma

Ndugu ustake kuvunja mbavu hapa.....anyway, karibu sana utatufaa sana.....kupoza injini.......kazi na dawa!

Karibu Makonyagi... Pata free Avatar

Kitu baridiii naona umepata pacha wako......kama Masa na Fidel kny express urself!
 
KAMA KAWAIDAAAA!

hii kitu inanikuna sana sana, KONYAGI balaa. kitu kinaingia mwilini taratiiiiiiiiiiiibu, ila kinakimbilia kwenye joints, unaweza ukashangaa umesimama kinakurudisha chini.
karibu mzee Makonyagi
KONYAGI- THE SPIRIT OF THE NATION.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom