Nini Ambacho Familia ya Mandela Imeficha Ulimwengu Katika Hatua ya Mwisho ya Mazishi

wazungu hata kama wamezuiwa kuonyesha au kushuhudia lakin lazima watakuwa wameona na marada yao! watatupa feedback siku zijazo! lakin kuna taarifa kuwa familia ya madiba walikuwa 15 wakati wanaenda makaburin lkn ajabu wakati wanarudi baada ya kuzika wakawa 14! Mm na wewe hatujui huyo mmoja kaenda wapi!

hapo ndipo nawakubali wabongo. cheki uongo huu.
 
Kazikwa pamoja na mtu ambaye yuko hai ndo mila inavyotaka lakini kwenye public eye wamesema anazikwa na ng'ombe dume!

Inasemeka Watemi zamani walikuwa wakizikwa na Mtu/watu hai wa karibu walio wa amini, kama vile msaada de kambi wake.
 
Nyie mnakataa bure kwan kingetokea nini wangeonyesha.yule alikuwa mkristo na maziko yoyote ya kikristo yanafana pale hajaonekana mchungaji yeyote zaidi ya wanajeshi pale kuna kitu kisicho cha kawaidi kimefanyika tu kubali kataa.
 
wazungu hata kama wamezuiwa kuonyesha au kushuhudia lakin lazima watakuwa wameona na marada yao! watatupa feedback siku zijazo! lakin kuna taarifa kuwa familia ya madiba walikuwa 15 wakati wanaenda makaburin lkn ajabu wakati wanarudi baada ya kuzika wakawa 14! Mm na wewe hatujui huyo mmoja kaenda wapi!

Mhh!! ngumu kumeza.
 
Mila za Africa zidumu! Nilijua toka mwanzo hawawez ruhusu publicity zitawale, lazima kuwa na fursa kwa wanafamilia kufanya mila na desturi zao.
 
Sijambo la kawaida kwa Waafrika kufanya shughuli za kuzika kuwa za kifamilia tu na baadhi ya waalikwa wa chache. Mambo haya tumezoea kuyaona huko ulaya na Amerika zaidi.

Bado na tafakari kwa nini kwa haya Mazishi ya Mandela familia wamezuia hata matangazo ya media mbalimbali kuonyesha hatua ya mwisho ya kurudi kwake kwenye udongo? Maandiko yana sema ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo, tatizo liko wapi hapa kuonekana ukirudi kwa udongo?

Mazishi ni kitu private kama kuoa au kuolewa mkuu .Unao unataka mchango au unaolewa unataka mchango si akili ya kawaida .Ndoa ni jambo la familia husika na wao wana haki zao wana matambiko yao nk .
 
IMG_20130611_0021028.jpg
Kumbe umbea, boa ni.....fuuu
 
Daaah henda kazikwa na bnadam mzma eeeeeh
Huu ndio ukweli, na si mtu mmoja, more than that.......... Angalia Movies za Shakha Zulu na Culture za mazishi ya viongozi wao au watu waliowapenda sana. Anyway TUTANGAZE FUMBO LA IMANI....

S. Mysterium Fidei
P.Mortem tuam annuntiamus, Domine, et tuam resurrectionem confitemur,donec venias

 
mila na destur ya wazuru na watu wa ukanda uke,mtu maarufu,king ama mtemi akifa ama chief huzikwa na kijana mtanashat ambaye kwa miaka ile alikuwa anakuwa mmoja wa wafanyakaz wa makazy am falme,so sio ajabu kwamba hiki kitu kimetokea pale maana tukio halikuoneshwa jinsi wanavozika na kama ingeoneshwa basi watu wa haki za binadam wangecharuka na ingekuwa scandle
 
Kazikwa pamoja na mtu ambaye yuko hai ndo mila inavyotaka lakini kwenye public eye wamesema anazikwa na ng'ombe dume!
Public gani?
kule makaburini kulikuwa na heads of states zote zilizokuwa pale, Wafalme/Prince/Princes mbalimbali, viongozi wa dini, international guests........ hiyo siyo public?
Tusiwe tuna-imagine vitu ambavyo havipo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom