peche luke
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 365
- 106
Sijambo la kawaida kwa Waafrika kufanya shughuli za kuzika kuwa za kifamilia tu na baadhi ya waalikwa wa chache. Mambo haya tumezoea kuyaona huko ulaya na Amerika zaidi.
Bado na tafakari kwa nini kwa haya Mazishi ya Mandela familia wamezuia hata matangazo ya media mbalimbali kuonyesha hatua ya mwisho ya kurudi kwake kwenye udongo? Maandiko yana sema ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo, tatizo liko wapi hapa kuonekana ukirudi kwa udongo?