Familia ya Malkia Elizabeth II imekabidhiwa mwili wa mpendwa wao kuendelea na taratibu zingine za kifamilia kwa lugha nyepesi kufanya mazishi kimila

Choddi

Member
Jul 27, 2018
92
176
MTAZAMO WETU KATIKA MSIBA WA MALKIA ELIZABETH II PALE UINGEREZA.

Ni takribani wiki mbili zimetimia tangu dunia iwe katika fukuto la msiba wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliyefariki mwezi September 2022.Kuna matukio kadhaa ya kimsiba yamejiri hivyo kupelekea kuacha sintofahamu na gumzo katika medani za kimataifa.

Mosi kuonekana kwa Mbuzi mweupe"Beberu"akiwa mstari wa mbele katika sherehe za kumsimika mfalme CHARLES III.Ni kiashiria kuwa,wazungu bado wana Imani na wanaziiishi mila na desturi zao ingawa wao ndiyo waliotuletea na kusambazi hii dini ya ukristo.

Kumsimika mfalme Charles III damu ya mbuzi imemwagika na hata baada ya taratibu zote za kimsiba kukamilika ikiwemo misa na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu. Familia ya Malkia Elizabeth II imekabidhiwa mwili wa mpendwa wao kuendelea na taratibu zingine za kifamilia kwa lugha nyepesi kufanya mazishi kimila na desturi zao.Sababu ni wanafamilia pekee ndiyo uhusika,kinafichwa nini watajua wao wenyewe na taratibu zao.

Hivyo basi tunapata somo kuwa tuheshimu na kutunza tamaduni ,tamaduni na desturi zetu.

Kitendo cha Marais kwa lugha nyingine Wakuu wa nchi za africa kusondekwa kwenye bus,kimezuia sintofahamu na mtazamo tofauti kutoka kwa waulimwengu.Wengine wamejenga hoja na kusimama katika tafasiri ya UTARATIBU WA KIMAZISHI. Kwamba kutoka na wingi wa wageni imewaradhimu kufanya hivyo ili kupunguza msongamano wa magari.

Kwangu mimi kusondekwa ndani ya bus kwa wakuu wa nchi za Africa. Ni tafasiri rasmi ya Uzito na mgawanyo wa hadhi unaofanywa na wenzetu wa magharibi. Pasua kichwa zaidi wamewekwa wao pekee yao bila kuchanganyikana na wenyeji wao, maana dunia imefiwa ila Ulaya ndiyo imefiwa zaidi. Pale ulaya Marais ni wengine tu kuanzia Croatia, Poland,Sweden, Portugal, Ireland nk lakini hawakuchanganikana na wageni kutoka Afrika yetu. Africa hatuna utaratibu wa kubaguana namna hii,africa wakati wa msiba tunakuwa wamoja weupe hawakai pekee yao wala wachina au wazungu hawawekwi pekee yao.UBAGUZI

Wakati wa msiba wa Hayati Nelson Mandela pale South Africa mwaka 2013 hutengwaji wa wageni haukuwa hivi. Kwa mujibu taasisi ya Kutunza rekodi za dunia "GUINNESS WORLD RECORD "Msiba wa Hayati Mandela ndiyo msiba uliokuwa unashikilia rekodi ya dunia kama msiba ulio hudhuriwa na viongozi na wakuu wa nchi wengi zaidi katika historia ya dunia.

Ukihudhuriwa na takribani wakuu wa nchi na wageni wa heshima 500,taasisi za kimataifa 19 na takribani nchi 190 zilituma wawakilishi, hii ilivunja rekodi ya msiba wa POPE JOHN PAUL II wa mwaka 2005. Huku ikitazamiwa msiba wa Malkia Elizabeth II kuvunja rekodi hii. Lakini msiba wa Mandela viongozi na wageni walipokelewa na kupewa hadhi ya heshima kwa namna walivyo stahili pasipo matabaka. Huu ni mwendelezo wa namna ambavyo africa tunavyochukuliwa poa.

Any way ukizoea kupokea vya bure na kulia lia shida kwa mabeberu heshima haiwezi kuwepo kamwe.Tukae kwa kutulia.

Kama haitoshi vile kwa upande wa hoja ya kiusalama kitendo cha wakuu wa nchi kusondekwa ndani ya busi siyo vizuri. Vipi ikitokea janga la kutokea si nchi nyingi za africa zitakuwa vilio vitupu. Najua wengine watasema pale Uingereza ulinzi na usalama umeimalishwa. Nani kakambia dunia ni sehemu salama thubutu!? mifumo ya ulinzi imeundwa na binadamu hivyo hivyo inaweze kuteguliwa na binadamu. Ndiyo maana mbabe wa dunia Joe Biden kaingia na ulinzi wake bhana dunia haiaminiki hii.

Any way ukiskia jina lako kapande kwenye busi na ukae kwa kutulia.Kuwa seat inaruhusiwa anhaha.

Ni MTAZAMO TU

Paschal Nehu
20 September 2022
 
Vitu vingine mnavikuza unnecessarily. Marais wa mabara yote walipelekwa kwa kutumia mabasi kasoro wa US nadhani na wa Israel tu.
 
Familia ya Malkia Elizabeth II imekabidhiwa mwili wa mpendwa wao kuendelea na taratibu zingine za kifamilia kwa lugha nyepesi kufanya mazishi kimila na desturi zao.Sababu ni wanafamilia pekee ndiyo uhusika,kinafichwa nini watajua wao wenyewe na taratibu zao.
Hata jiwe alizikwa kwa siri tena kichawi na waganga wake wa kienyeji
 
mi nimeelewa uzi! kweli tumepigwa , tumedharauliwa, tumekanyagwa, tumenyanyaswa na kutukanwa wazi wazi Afrika nzima , kumbe hakuwa bibi yetu nasisi kama walivyotuaminisha bali bibi wa wazungu tu!

Fundisho kwa marais wetu wa Afrika na Rais wa Yanga wazungu wakija kwetu tusiwatetemekee maana wanatuona nyani tu!

Je iwapo lile bus lililobeba marais 65 wa bara la giza lingefeli breki maana inatokea na kwenda kugonga jeneza la Malkia Elizabeth na kuwaka moto na marais wote kuteketea na kufa je wangezikwa UK pembeni ya Malkia au wangepandishwa ndege tuje tuwazike? Je Osama angeamua kulipiga bomu bus la marais wa Dark Continent je ungekuwa msiba mkubwa kiasi gani? Je Raila Odinga angepewa urais wa Kenya kama Ruto angededi?

Na Makengeza bin Mmbowe angepewa kiti?

Wazungu waache dharau nao wakija kwetu tuwadharau pia jino kwa jino!!
 
Back
Top Bottom