Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,096
- 61,512
Vipi mkuu joshua_ok na hao wahandisi wa kichina waliokuwa wanasimamia Ujenzi huo hadi Ghorofa kuanguka walikuwa wanachat na magroup mangapi??Mainjinia wetu toka CoET, UDSM anaenda Site na suti huku anachat kwenye groups kama 10 za whatsapp akil kama hii wataitoa saa ngap
Wakati mwingine sio mbaya kutoa credit kwa vitu vya kwetu. Wahandisi wetu wamefanya kazi kubwa sana💪💪💪