FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,786
- 46,904
Wewe unajichanganya kitu kimoja, WAKATI HILO JENGO LINAJENGWA HILO SHIMO /SLOPE HALIKUWEPO! Sasa utafanya consideration kwa kitu ambacho hakipo? Hao waliokuja kuchimba shimo /slope baada ya jengo kuwa limshasimama ndio ilibidi wafanye consideration ya kulifanyia reinforcement kingo za hilo shimo lao!Mkuu angalia hiyo picha namba 8 hilo shimo lilikuwa na slope na mimi naongelea slope ya hilo shimo. na ukiangalia kwa umakini ameionyesha failure ya hiyo slope na unapokuwa na slope yoyote kwenye construction lazima ucheki stability ya slope, na utaona mtaalamu kwenye picha anasema improper support of the excavation Iakini kapoint mshale kwenye slope ya shimo. Na pia mimi kule juu niliongelea vitu viwili slope na kifusi.
Sent using Jamii Forums mobile app