Habarini wakuu,
Katika pita pita zangu nimekutana na hii habari
Shanghai Building Collapses, in China
constructed building in Shanghai toppled over, killing one worker. As can be seen in the photo below, the 13-story apartment building collapsed with just enough room to escape what would have been a far more destructive domino effect involving other structures in the 11-building complex.
Kama sijakosea hii habari inaelezea kuwa
jengo hili lililojengwa huko Shanghai lilianguka na kuua mfanyakazi mmoja. Kama inavyoonekana katika picha hapa chini,
Sasa kilichoniumiza kama kuna contractors wazuri hii hali imetokeaje???means hawakuenda na vipimo????au hawakupima eneo kabla ya ujenzi????
Hebu mnaofahamu haya masuala ya Ukandarasi njooni tusaidiane hapa,sijaelewa elewa.
Yaani kama uwezekano ungekuwepo wa kubebwa majengo kama haya,kama ilivyo kwenye mabanda ya sungura.Hakika ningelibeba nikaliweke home liwe hata la maonyesho tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1070460
View attachment 1070461View attachment 1070462View attachment 1070464View attachment 1070465View attachment 1070466View attachment 1070468View attachment 1070469View attachment 1070470View attachment 1070471
Sent using
Jamii Forums mobile app