Ningeweza kulibeba hili jengo ningefanya hivyo!

RtsHjcq

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
4,753
Reaction score
5,516
.
 
Attachments

  • FB_IMG_1555153900041.jpg
    FB_IMG_1555153900041.jpg
    57 KB · Views: 142
  • FB_IMG_1555153903537.jpg
    FB_IMG_1555153903537.jpg
    22.2 KB · Views: 158
  • FB_IMG_1555153906411.jpg
    FB_IMG_1555153906411.jpg
    47 KB · Views: 152
  • FB_IMG_1555153908979.jpg
    FB_IMG_1555153908979.jpg
    19.2 KB · Views: 201
  • FB_IMG_1555153911457.jpg
    FB_IMG_1555153911457.jpg
    46.4 KB · Views: 198
  • FB_IMG_1555153913946.jpg
    FB_IMG_1555153913946.jpg
    49.7 KB · Views: 173
  • FB_IMG_1555153916345.jpg
    FB_IMG_1555153916345.jpg
    48.9 KB · Views: 191
  • FB_IMG_1555153923255.jpg
    FB_IMG_1555153923255.jpg
    36 KB · Views: 206
  • FB_IMG_1555153925798.jpg
    FB_IMG_1555153925798.jpg
    36.4 KB · Views: 184
  • FB_IMG_1555153930228.jpg
    FB_IMG_1555153930228.jpg
    61.4 KB · Views: 194
Risk minimization interms of death walijitahidi.Sababu nadhani ni basement ilikua weak in relation to the top ndio maana limeanguka zimazima,haya ndo majengo unakuta udongo hauruhusu kujenga gorofa refu ila unalazimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ni wasomi wana degree,masters..ila wana fanya muharo wa namna hii jamani🤔[emoji53][emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa sijui una matatizo gani? picha ya nane uliyoweka imekuelewesha clearly kabisa kilichotokea, kwamba tatizo halikuwa kwa maengineer wala madesigner, tatizo na hao machoko waliochimba shimo kwa mbele kwa ajili ya garage bila kufanyia reinforcement hilo shimo, halafu kifusi wakaenda kukiweka kwa nyuma, mvua ilivyonyesha kingo za shimo zililainika na ukiongeza na uzito wa msukumo wa kifusi walichoweka nyuma ya jengo basi shimo likaporomoka na kuangusha jengo.
 
Risk minimization interms of death walijitahidi.Sababu nadhani ni basement ilikua weak in relation to the top ndio maana limeanguka zimazima,haya ndo majengo unakuta udongo hauruhusu kujenga gorofa refu ila unalazimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona picha namba nane imeeleza nini kimetokea
 
Picha namba nane imeeleza kilichotokea, najua picha huwezi kushindwa kuielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hiyo link utagundua sababu kama tatu zimetajwa ikiwemo underskilled controctors wa hilo jengo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa sijui una matatizo gani? picha ya nane uliyoweka imekuelewesha clearly kabisa kilichotokea, kwamba tatizo halikuwa kwa maengineer wala madesigner, tatizo na hao machoko waliochimba shimo kwa mbele kwa ajili ya garage bila kufanyia reinforcement hilo shimo, halafu kifusi wakaenda kukiweka kwa nyuma, mvua ilivyonyesha kingo za shimo zililainika na ukiongeza na uzito wa msukumo wa kifusi walichoweka nyuma ya jengo basi shimo likaporomoka na kuangusha jengo.
Achana na vilaza hao !ndio maana wengine tume wa mute haiwezekani ulete uzi na ilustration kibao ushindwe kuona hiyo sehemu ya chanzo?hao akili zao zilikuwa tayar hell bent kuwa discredit wqlio jenga hayo maghorofa so hawawezi kuona kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa sijui una matatizo gani? picha ya nane uliyoweka imekuelewesha clearly kabisa kilichotokea, kwamba tatizo halikuwa kwa maengineer wala madesigner, tatizo na hao machoko waliochimba shimo kwa mbele kwa ajili ya garage bila kufanyia reinforcement hilo shimo, halafu kifusi wakaenda kukiweka kwa nyuma, mvua ilivyonyesha kingo za shimo zililainika na ukiongeza na uzito wa msukumo wa kifusi walichoweka nyuma ya jengo basi shimo likaporomoka na kuangusha jengo.
Thank you,nimeshangaa anauliza ili hali majibu yapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa sijui una matatizo gani? picha ya nane uliyoweka imekuelewesha clearly kabisa kilichotokea, kwamba tatizo halikuwa kwa maengineer wala madesigner, tatizo na hao machoko waliochimba shimo kwa mbele kwa ajili ya garage bila kufanyia reinforcement hilo shimo, halafu kifusi wakaenda kukiweka kwa nyuma, mvua ilivyonyesha kingo za shimo zililainika na ukiongeza na uzito wa msukumo wa kifusi walichoweka nyuma ya jengo basi shimo likaporomoka na kuangusha jengo.
Sasa wewe ndio una matatizo,
Sasa kama walianza ujenzi,au ujenzi ulikuwa kwenye process na hao kama ni wasomi kwa nini wasizuie ilo tatizo mapema????mpaka inacost vitu vya kizembe namna hiyo

Mpaka mimi kuweka link hapa tayar nishaona kila unachotaka kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mkuu,nimekusoma ndo maana unajiita Big IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom