Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Graduates wa CoET mnagaragazwa na wachina kama vile mliishia pre-primary
Ujenzi unahusisha hesabu kama Tensile strenght, mambo ya Settlement kwenye foundation, materials, na parameters zingine, majengo huwa yanadondoka google hata kule USA majengo yalidondoka sana miaka ya zamani. Kunaishu zingine kama natural phenomena kama ground movements, earthquake nkHabarini wakuu,
Katika pita pita zangu nimekutana na hii habari
Shanghai Building Collapses, in China
constructed building in Shanghai toppled over, killing one worker. As can be seen in the photo below, the 13-story apartment building collapsed with just enough room to escape what would have been a far more destructive domino effect involving other structures in the 11-building complex.
Kama sijakosea hii habari inaelezea kuwa
jengo hili lililojengwa huko Shanghai lilianguka na kuua mfanyakazi mmoja. Kama inavyoonekana katika picha hapa chini,
Sasa kilichoniumiza kama kuna contractors wazuri hii hali imetokeaje???means hawakuenda na vipimo????au hawakupima eneo kabla ya ujenzi????
Hebu mnaofahamu haya masuala ya Ukandarasi njooni tusaidiane hapa,sijaelewa elewa.
Yaani kama uwezekano ungekuwepo wa kubebwa majengo kama haya,kama ilivyo kwenye mabanda ya sungura.Hakika ningelibeba nikaliweke home liwe hata la maonyesho tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1070460
View attachment 1070461View attachment 1070462View attachment 1070464View attachment 1070465View attachment 1070466View attachment 1070468View attachment 1070469View attachment 1070470View attachment 1070471
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo Engineer wa majengo lakini najaribu kuelezea nachokielewa. Huwezi ukamlaumu mjenzi kabla haujatafuta sababu za jengo kudondoka