Ningependa

Ningependa

DEVINE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
536
Reaction score
87
Ningependa kuwa na marafiki wenye mawazo endelevu na wakufurahisha weza ukawa wewe,je naweza kuwa rafiki yako? Mimi bado mgeni kwenye safu hii,basi naomba ushirikiano nanyi.
 
Karibu Kaka/Dada, na tuwe marafiki wa kweli.
 
Karibu sana Devine...Wenye mawazo kama hayo hapa jamvini wako wengi sana.
 
Karibu

1ccba5001c66.jpg

Ningependa kuwa na marafiki wenye mawazo endelevu na wakufurahisha weza ukawa wewe,je naweza kuwa rafiki yako? Mimi bado mgeni kwenye safu hii,basi naomba ushirikiano nanyi.

Karibu sana,na iwe kweli km ulivyoahidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom