Harambeeta
Senior Member
- Jun 28, 2019
- 198
- 154
Vilevile cdm wamuombe yule kiongozi wa mashoga duniani awe mmoja wa wasindikizaji, amsindikize siku anarudi
K**m@ weyaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
Duh! Mpaka miguu...? Ww kibokoNinaunga mikono na miguu
wewe ndiyo hilo dude ulilolitaja tena linaliwa na babayako weweK**m@ we
wakizingua DAR.Tutaomba atue SONGWE INT AIRPORT(MBEYA)Siku Lissu anatua lazima litazuka jambo tu.......tunaweza kuambiwa ni siku ya usafi Dar, wanawake kwa waume wote ni mwendo wa mafagio -- fitna hainaga aibu aisee!!
Hi Guys
I hope mko poa,,, Right,,??
Okay, Good.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.
Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.
Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.
Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,
👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.
👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,
👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.
👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.
👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.
KARIBU MFALME LISSU.
Lakini wameshampa taarifa ya ACCACIA kwamba hapa TZ kuna wanaumme wa shoka deal tayari imekwisha na MIGA hawaendi?kwani hamtakuwa na kazui za kufanya mpaka mkampokee huyo mtalii kwani alikuwa anaumwa si alienda kutukana ulaya?
Mtapigwa mabomuuu mpaka mpoteaneNinaunga mikono na miguu
Hi Guys
I hope mko poa,,, Right,,??
Okay, Good.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.
Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.
Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.
Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,
[emoji117]Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.
[emoji117]Atafika siku,Tarehe na Muda gani,
[emoji117]Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.
[emoji117]Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.
[emoji117]Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.
KARIBU MFALME LISSU.
Kwanini waombe kibali?yaani kwenda kumpokea ndugu yako uombe kibali?Au kuna mtu atawaalika watu wa kwenda kumpokea? I thought kila mtu ataenda kifyake na kwa njia yakeHi Guys
I hope mko poa,,, Right,,??
Okay, Good.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.
Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.
Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.
Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,
👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.
👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,
👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.
👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.
👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.
KARIBU MFALME LISSU.
Ulijitahidi kumnyamazisha Muumba wake amegoma sasa sikilizia mziki wake......yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
[emoji1] [emoji1] labda mfalme juhaDuh!
Eti mfalme, enhee wa nchi gani?