Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Hi Guys

I hope mko poa,,, Right,,??

Okay, Good.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.

Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.

Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.

Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,

👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.

👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,

👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.

👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.

👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.

KARIBU MFALME LISSU.
Ngoja nihakikishe kwanza kama wewe ni kundi "letu" CDM maana unaweza kuwa unatu- bluff! -ridicule! then nitarudi kukupongeza au "kukutukana"
 
Ni muhimu tufahamu mapema kama anakuja na yule dereva wake anayejua mipango yote au wataendelea kumficha nje ya Tanzania
 
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
Kazi tunafanya vyeo hatupandi, wateja hamna hela imepotea, kodi juu si bora tumsubirie mheshimiwa.
 
Hi Guys

I hope mko poa,,, Right,,??

Okay, Good.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.

Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.

Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.

Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,

👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.

👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,

👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.

👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.

👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.

KARIBU MFALME LISSU.
Uzi bora kwa mwezi huuu mwishoni mwa July.

Gari tunaweza kulisukuma.hadi Singida akipenda hadi tabora.

Mfalme wa Sheria na Siasa bora ukanda huu wa Bara la afrika
 
Kazi tunafanya vyeo hatupandi, wateja hamna hela imepotea, kodi juu si bora tumsubirie mheshimiwa.
Mkombozi pekee wa nchi hii ni Lissu, ukubali ukatae huo ndio ukweli. Wengine walafi na roho mbaya tu.
 
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
Hizi hasira za mkizi zinatikana na stress, mkuu vyuma vimekukazia kama vya Lengai Sebaya
 
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
ULIVYO NA MDOMO MCHAFU ZAIDI YA CHOO CHA TANDALE KWA HIYO UMEUMIA KUSIKIA LISSU ANAKUJA LOL? KAMA AK 47 ILISHINDWA BASI TAMBUA UPO UPANDE WA KUSHINDWA
 
Nimesoma mistari miwili tu ya juu ikanipa mwelekeo wote wa fikra zako.
Mtu mwenye ushawishi wa kisiasa nchini anajificha mbali na nchi yake akitafuta kuungwa mkono na 'weupe' kwa sababu anatambua kwamba nyumbani watu hawamwamini.
 
Siku Lissu anatua lazima litazuka jambo tu.......tunaweza kuambiwa ni siku ya usafi Dar, wanawake kwa waume wote ni mwendo wa mafagio -- fitna hainaga aibu aisee!!
Nani kakwambia atatua Dar. Mwendo wa Chattle!
 
Ninaunga mikono na miguu
Kweli?
Suti na Magari ya Fahari, ya nini hayo?
Kusukuma gari?

Jameni jameni CHADEMA, natumaini mnao ma'think tank' zaidi ya hawa huko! Hii CHADEMA mbona ni kama haikusinyaa tu bali inapungua? Kuna jambo kule, sio bure hii!

Ukweli ni kwamba hapatakuwepo na mapokezi rasmi yatakayoruhusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nyumbani, ya nini kuendelea kujihangaisha na jambo lililo wazi badala ya kutafuta njia zingine zinazofaa kumwonyesha heshima hiyo? Andaeni mipango ambayo hawana uwezo wa kuizuia. Mojawapo ni kuvaa T-shirts za kumwombea Tundu Lissu. Kila atakayevaa aendelee na shughuli zake popote alipo. Wakitaka kuwakusanya wote waliovaa T-shirts hizo siku hiyo, hilo liwe ni shauri yao, nyinyi haiwahusu zaidi ya kuchukua na kuweka ushahidi wa kumbukumbu za ukusanyaji wa watu hao.
Wekeni mikakati na Wahamasisheni watu wawe tayari kwa mapoke hayo makubwa.
 
Nimesoma mistari miwili tu ya juu ikanipa mwelekeo wote wa fikra zako.
Mtu mwenye ushawishi wa kisiasa nchini anajificha mbali na nchi yake akitafuta kuungwa mkono na 'weupe' kwa sababu anatambua kwamba nyumbani watu hawamwamini.
Sema humwamini siyo hawamwamin.
 
Kweli?
Suti na Magari ya Fahari, ya nini hayo?
Kusukuma gari?

Jameni jameni CHADEMA, natumaini mnao ma'thik tank' zaidi ya hawa huko! Hii CHADEMA mbona ni kama haikusinyaa tu bali inapungua? Kuna jambo kule, sio bure hii!

Ukweli ni kwamba hapatakuwepo na mapokezi rasmi yatakayoruhusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nyumbani, ya nini kuendelea kujihangaisha na jambo lililo wazi badala ya kutafuta njia zingine zinazofaa kumwonyesha heshima hiyo? Andaeni mipango ambayo hawana uwezo wa kuizuia. Mojawapo ni kuvaa T-shirts za kumwombea Tundu Lissu. Kila atakayevaa aendelee na shughuli zake popote alipo. Wakitaka kuwakusanya wote waliovaa T-shirts hizo siku hiyo, hilo liwe ni shauri yao, nyinyi haiwahusu zaidi ya kuchukua na kuweka ushahidi wa kumbukumbu za ukusanyaji wa watu hao.
Wekeni mikakati na Wahamasisheni watu wawe tayari kwa mapoke hayo makubwa.
Tutasherehekea atakapokua rais wa JMT
 
Back
Top Bottom