jabarijoka
Member
- Jul 5, 2020
- 23
- 19
Napenda kujua tafsiri ya msamiati Asasi. Mara nyingi nimesikia wakisema Asasi ya Kiraia lakini Asasi ni nini sijajua bado.
Naomba kufahamishwa, I'm deep
Naomba kufahamishwa, I'm deep
Umeongeza tatizo zaidi.Asasi=Civil Society.
Taasisi ni institutionAsasi ni Taasisi
Napenda kujua tafsiri ya msamiati asasi
Mala nyingi nimesikia wakisema asasi ya kiraia
Lakini asasi Ni nini sijajua bado
Naomba kufaamishwa I'm deep
Napenda kujua tafsiri ya msamiati asasi
Mara nyingi nimesikia wakisema asasi ya kiraia
Lakini asasi Ni nini sijajua bado
Naomba kufaamishwa I'm deep
JumuiyaNapenda kujua tafsiri ya msamiati asasi
Mala nyingi nimesikia wakisema asasi ya kiraia
Lakini asasi Ni nini sijajua bado
Naomba kufaamishwa I'm deep
=CommunityJumuiya
Jr