Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,834
Weupe, weusi, wachina, wazungu wembamba kwa wanene.
Ulaya, Afrika, Marekani na Asia.
Bara na Visiwani ningeenda kula raha.
Haya ni mawazo ya kila mwanaume ambaye hajabahatika kuzikamata hela za kutumia.
Ulaya, Afrika, Marekani na Asia.
Bara na Visiwani ningeenda kula raha.
Haya ni mawazo ya kila mwanaume ambaye hajabahatika kuzikamata hela za kutumia.