Haya nayaita mawazo tegemeziacha kazi uone kumbe wewe mawazo uchwara kitaa tunalia ajira ww unalalamika nini huna swaga acha kazi ule nyasi
Ulivyoandika tu una haki ya kula nyasi huko kitaa kwenu, upo tu kusubiria ajira subiria hukohuko utaletewa ajiraacha kazi uone kumbe wewe mawazo uchwara kitaa tunalia ajira ww unalalamika nini huna swaga acha kazi ule nyasi
Hizi ndoto ni nzuri, pigana kuzifikia, nakuunga mkono ndugu, kama capital inakuruhusu karibu kwenye kujiajiri, tafuta elimu ya unachohitaji kukifanya ili mwisho wa siku ukifanye kwa ufanisi, penye niya pana njia.Wanabodi,
Ni mwaka wangu wa nane sasa kwenye ajira, nikijiangalia sina mafanikio ninayoota kuwa nayo na nahisi itachukua muda kuyafikia. Katika tafakari zangu nikagundua kama ningejiajiri kwenye kilimo biashara hata just 3 years back ningekua mbali sana. Hivi sasa nimeanza mchakato wa kuingia kwenye kilimo biashara na dalili zinaonekana kuwa nzuri. Kila nikiingia humu nakukuta watu tunapambana kutafuta ajira nasikitika sana kwakuwa miaka kumi ya ajira ni sawa na miwili au mitatu ya kilimobiashara. Kama hamniamini fanyeni utafiti mdogo tu hakika mtabadili mawazo.
Wewe endelea kulilia ajira, machozi yakikauka na ajira itakuja.. Wala usiwe na wasiwasi, sit back and relax young man..acha kazi uone kumbe wewe mawazo uchwara kitaa tunalia ajira ww unalalamika nini huna swaga acha kazi ule nyasi
Hicho kilimo ungekifanya kwa mtaji kutoka wapi? Na sasa hivi unalima kwa pesa kutoka wapi?
Yaani ndio kwanza umeanza mchakato tayari umeshaanza kuhubiri mafanikio. Nini kinakufanya uamini kwamba wazo lako ni jipya?Wanabodi,
Ni mwaka wangu wa nane sasa kwenye ajira, nikijiangalia sina mafanikio ninayoota kuwa nayo na nahisi itachukua muda kuyafikia. Katika tafakari zangu nikagundua kama ningejiajiri kwenye kilimo biashara hata just 3 years back ningekua mbali sana. Hivi sasa nimeanza mchakato wa kuingia kwenye kilimo biashara na dalili zinaonekana kuwa nzuri. Kila nikiingia humu nakukuta watu tunapambana kutafuta ajira nasikitika sana kwakuwa miaka kumi ya ajira ni sawa na miwili au mitatu ya kilimobiashara. Kama hamniamini fanyeni utafiti mdogo tu hakika mtabadili mawazo.
Kwa wewe kwa tafakuri yako, unadhani pesa ndizo zinazolima? Tena simaanishi kuwa kulima ni kushika jembe na kukwatua aridhi. Pia simaanishi kulima kwa kutumia nyenzo kama, matrekta, na jembe la ngombe. Kilimo ni zaidi ya hayo yote.Hicho kilimo ungekifanya kwa mtaji kutoka wapi? Na sasa hivi unalima kwa pesa kutoka wapi?
haina guarantee kama ungeanza miaka mitatu iliyopita basi ungefanikiwa tu.Fursa inapokutana na mtu sahihi katika wakati sahihi huzalisha mafanikio.Kimojawapo kisipokuwepo basi mafanikio unakuwa msamiati.All the best.Usisahau kutupa mrejesho.Wanabodi,
Ni mwaka wangu wa nane sasa kwenye ajira, nikijiangalia sina mafanikio ninayoota kuwa nayo na nahisi itachukua muda kuyafikia. Katika tafakari zangu nikagundua kama ningejiajiri kwenye kilimo biashara hata just 3 years back ningekua mbali sana. Hivi sasa nimeanza mchakato wa kuingia kwenye kilimo biashara na dalili zinaonekana kuwa nzuri. Kila nikiingia humu nakukuta watu tunapambana kutafuta ajira nasikitika sana kwakuwa miaka kumi ya ajira ni sawa na miwili au mitatu ya kilimobiashara. Kama hamniamini fanyeni utafiti mdogo tu hakika mtabadili mawazo.
Mkuu nimegundua wewe pia ni miongoni mwa watu ambao wanaweza kushindwa hata kabla ya kuanza...kwa sababu wengi wanoshindwa ni kwa sababu hawafanyi utafiti wala projections ya mafanikio ya mbeleni ambayo hata nusu yake tu ukiyafikia wewe umefanikiwa... nilichohubiri mimi sio mafanikio ya uwekezaji bali ya ku-connect dots forward not backward. Na hili huhitaji akili ya ziada kuifanya..sikurupuki...miezi 6 ijayo ntakukaribisha uje ujionee kwa macho mkuu.. lengo ni kufunguanaYaani ndio kwanza umeanza mchakato tayari umeshaanza kuhubiri mafanikio. Nini kinakufanya uamini kwamba wazo lako ni jipya?
Mimi nakushauri uweke akiba ya maneno. Tanzania hii ina fursa half way. Ukisikia mtu anahubiri kuhusu kilimo, basi mtafute na anayehubiri kuhusu masoko ndio uunganishe mahubiri yao yawe ndoto kamili. Kulima peke yake sio tija kwani mazao hayalimwi ili uyaangalie kwa macho shambani. Kimbiji yoooote ile imejaa matikitiki, Bagamoyo imejaa mananasi...lakini vyooote ni matunda yanayoliwa na wananchi kwa msimu.
Wazo lako zuri, ushauri wangu ni kwamba USIPOTEZE MUDA KUHUBIRI MAFANIKIO YA NDOTO ZAKO, JIKITE KWENYE UKAMILIFU WA WAZO LAKO vinginevyo utajuta. Unaowaona wameajiriwa si kwamba hawana akili, hata huko kulima kunahitaji mtaji.
Ni kilimo gani hicho ambacho hakihitaji pesa, trekta wala jembe?Kwa wewe kwa tafakuri yako, unadhani pesa ndizo zinazolima? Tena simaanishi kuwa kulima ni kushika jembe na kukwatua aridhi. Pia simaanishi kulima kwa kutumia nyenzo kama, matrekta, na jembe la ngombe. Kilimo ni zaidi ya hayo yote.
Mkuu...nimefanya utafiti ndio maana nimesema miaka mitatu au miwili...tena hata hivyo ni mingi... kiufupi tayari ninashamba la ekari 20 ambalo nimeshajemga mabanda 15 kwa ufugaji wa nguruwe, mabanda ya kuku, mbuzi. Kilimo cha mbogamboga na matunda ambapo nimetuma sample ya udongo kituo cha utafiti ili nijue virutubisho vinavyopungua ambapo mwishoni mwa mwaka huu nitaweka greenhouse. Nimemnunulia fundi vifaa vya mizinga ya nyuki ambapo mpaka sasa tumetengeneza mizinga 23 bado kuipaka rangi na kuipanga kwenye bee house lengo ni kuweka mizinga mia mbili ila awamu hii ya kwanza ni mizinga 100haina guarantee kama ungeanza miaka mitatu iliyopita basi ungefanikiwa tu.Fursa inapokutana na mtu sahihi katika wakati sahihi huzalisha mafanikio.Kimojawapo kisipokuwepo basi mafanikio unakuwa msamiati.All the best.Usisahau kutupa mrejesho.
Mkuu tuelewane...kuna watu wameanza na mbuzi au kuku wawili na wako mbali mno leo hii..ninaushuhuda huo. elfu hamsini au Laki moja shambani ni hela nyingi sana tofauti na mtu anavyoweza kufikiri..kwa tarifa yako wote wanaotafuta ajira hiyo laki moja hawezi kuikosa kama akiamuaNi kilimo gani hicho ambacho hakihitaji pesa, trekta wala jembe?
Sasa hata hao mbuzi na kuku utawapata bure?Mkuu tuelewane...kuna watu wameanza na mbuzi au kuku wawili na wako mbali mno leo hii..ninaushuhuda huo. elfu hamsini au Laki moja shambani ni hela nyingi sana tofauti na mtu anavyoweza kufikiri..kwa tarifa yako wote wanaotafuta ajira hiyo laki moja hawezi kuikosa kama akiamua
Mkuu tuelewane...kuna watu wameanza na mbuzi au kuku wawili na wako mbali mno leo hii..ninaushuhuda huo. elfu hamsini au Laki moja shambani ni hela nyingi sana tofauti na mtu anavyoweza kufikiri..kwa tarifa yako wote wanaotafuta ajira hiyo laki moja hawezi kuikosa kama akiamua
Fikra zako zitakupeleka huko unakozielekeza. Huo ndio msingi wa mambo yote.Ni kilimo gani hicho ambacho hakihitaji pesa, trekta wala jembe?
Mkuu tuelewane...kuna watu wameanza na mbuzi au kuku wawili na wako mbali mno leo hii..ninaushuhuda huo. elfu hamsini au Laki moja shambani ni hela nyingi sana tofauti na mtu anavyoweza kufikiri..kwa tarifa yako wote wanaotafuta ajira hiyo laki moja hawezi kuikosa kama akiamua
Mkuu...nimefanya utafiti ndio maana nimesema miaka mitatu au miwili...tena hata hivyo ni mingi... kiufupi tayari ninashamba la ekari 20 ambalo nimeshajemga mabanda 15 kwa ufugaji wa nguruwe, mabanda ya kuku, mbuzi. Kilimo cha mbogamboga na matunda ambapo nimetuma sample ya udongo kituo cha utafiti ili nijue virutubisho vinavyopungua ambapo mwishoni mwa mwaka huu nitaweka greenhouse. Nimemnunulia fundi vifaa vya mizinga ya nyuki ambapo mpaka sasa tumetengeneza mizinga 23 bado kuipaka rangi na kuipanga kwenye bee house lengo ni kuweka mizinga mia mbili ila awamu hii ya kwanza ni mizinga 100
Mkuu nimegundua wewe pia ni miongoni mwa watu ambao wanaweza kushindwa hata kabla ya kuanza...kwa sababu wengi wanoshindwa ni kwa sababu hawafanyi utafiti wala projections ya mafanikio ya mbeleni ambayo hata nusu yake tu ukiyafikia wewe umefanikiwa... nilichohubiri mimi sio mafanikio ya uwekezaji bali ya ku-connect dots forward not backward. Na hili huhitaji akili ya ziada kuifanya..sikurupuki...miezi 6 ijayo ntakukaribisha uje ujionee kwa macho mkuu.. lengo ni kufunguana