Ninayo furaha kujiunga na JamiiForums

Ninayo furaha kujiunga na JamiiForums

Kwa takribani miaka 10 nimekua msomaji wa JamiiForums bila kua mchangiaji, sasa rasmi nimejiunga rasmi nitajumuika kuchangia mada mbalimbali

Shukrani sana.
Karibu sana mkuu 🙌 Baada ya miaka 10 ya kuwa msomaji, ni kitu gani hasa kimekufanya uamue sasa kuwa mchangiaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom