maweso village
Member
- Nov 14, 2026
- 57
- 70
Kwa miaka 12 nimekuwa nikiifuatilia sana jamiiforums
Mazuri ni mengi na mabayapia nimengi
Nilichogundua usomaji si mapambo ya akili ni siraha ya fikra,kadiri unavyosoma ,ndivyo unavyoanza kuona mambo kwa upana ,kuuliza maswali yenye maana nakufanya maamuzi kwa uelewa zaidi.
Nimependa kujiunga na jamiiforums si kwasababu najua kila kitu,bali kwa sababu naamini kila kikundi che,nye watu wenye mawazo tofauti kuna nafasi ya kuongeza maarifa,hekima na mitazamo mipya ,akili hukua si kwakujifungia kwenye fikra zake pekee,bali kwakujifunza kusikiliza na kushirikiana na wengine nikipewa nafasi nitakuwa tayari kujifunza,kuheshimu mawazo ya wengine na kuchangia kadiri ya uwezo wangu wangu.
Akili haikui kwa umri pekee;hukua kwa maarifa tafaakuri na utayari wa kujifunza.
Nisiwachoshe maana wengi wenu 🏃♀️🏃🏻🏃♀️
maweso village 🙏🏿