Ninayakumbuka mengi

Sep 7, 2016
6
6
Ninakumbuka mengi saaana ambayo mpaka leo ninayafamyia kazi.
cc4d3efcc405781c706e08e362833782.jpg
 
Hahahaaaaaa. Yakumbuke tu mdogo wangu na uyafanyie kazi yote


dishi gani?

Unajua sijakufahamu bado
MAREGESI MAKUNJA naomba tu nikushauri kitu kimoja kwakuwa bado wewe ni mgeni wa jukwaa...! Huku JF sio kama kule FB na Insta ambako picha kama hiyo ingekuwa tayari umeshapata likes kibao
Huku ni mijadala tu tena mingine ya kibabe hasa
 
ahahahahahahaha dah,endelea tu kuyafanyia kazi bro..ila jf kufuta posti mbinde kweli ila kufungua akaunti nyingine fasta tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom