Ninayakumbuka mengi

Ninayakumbuka mengi

Umevaa ndala na maguo ya ccm huku umekaa kwenye chemba ya inya

nina wasiwasi na mishale ya saa kama iko sawa,

toka sep 7, 2016 bado unadhani hapa ni fb, karibu sana
 
Umevaa ndala na maguo ya ccm huku umekaa kwenye chemba ya inya

nina wasiwasi na mishale ya saa kama iko sawa,

toka sep 7, 2016 bado unadhani hapa ni fb, karibu sana
Jf raha sana
Oya bwamdogo umepotea njia.hii sio fesibuku.

[emoji23] [emoji23] ........sijui aliwaza nini hadi kupost hiii picha.

Karibu sana kijana!
hii ndio JF though umevaa manguo ya CCM

Bro uko poa lakini? Dish liko fresh kabisa?

dishi gani?

hahahahahaha upepo mkali labda limetikisika kiaina!

Hili limecheza.... Naona chenga tu.

Dishi halijakaa sawa angalia sana lisije anguka kabisa.
 
Naona chuma kimepata moto.. pole sana ila mwezi ndo unaisha hivyo
 
Hilo panki mzee na hizo Rangi za nguo zako utafikiri Mobutu Seseko......Alf chini umepiga kitu cha ndara za mwendokasi utafikiri yule msemaji wa Simba...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nimetokea mlango wa kuingilia hapa.
Ngoja nisepe zangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf raha sana.Huyo aliye nje ya nchi asirudi tu watu wajiachie.ila dogo sio mzima huyu.
 
Ila jmn tusimcheke huyu anahitaj mtu wa kumuelimisha maana ya jf, lengo la jf na kazi zake.. After all we are here for learning.. So tujaribu kumuelewesha taratibu tu ataelewa.
 
Back
Top Bottom