naomba ushauri wenu wana jamvi,mi baada ya kumaliza degree yangu kimsingi sikupata kazi katika fani niliyokuwa nimeisomea,so nikawa nafundisha shule fulani hivi ya private ili kujikimu kimaisha,nilifundisha pale kwa miaka miwili,then baada ya hapo nikapata kazi kulingana na fani yangu kwahiyo nikaondoka katika shule hiyo ila kwasasa niko Makerere university nafanya Masters na huku nimekutana na mwanafunzi niliyemfundisha katika shule ile (nilimfundisha form three na four) kwasasa yuko hapa mwaka wa pili,tumeanza urafiki tangu nimefika hapa makerere infact it is going into a serious relationship,kiumri nimemzidi miaka 7 yeye ana 21 mimi nina 28! sasa swali langu ninaweza kuendelea na uhusiano na nikamuoa,tumeshaliongelea hili na yeye ana shida,sasa jamani kuna shida kwa mwalimu kuoa mwanafunzi wake? nipeni ushauri jamani mapema! asanteni
Edson nimecheka sana kwa ushuhuda wako!
Oa mke huyo bana mambo ya shule yashapita umri unaruhusu kabisa
kwani kama ni mwanafunzi wako, ile kitu haitananihii?
naomba ushauri wenu wana jamvi,mi baada ya kumaliza degree yangu kimsingi sikupata kazi katika fani niliyokuwa nimeisomea,so nikawa nafundisha shule fulani hivi ya private ili kujikimu kimaisha,nilifundisha pale kwa miaka miwili,then baada ya hapo nikapata kazi kulingana na fani yangu kwahiyo nikaondoka katika shule hiyo ila kwasasa niko makerere university nafanya masters na huku nimekutana na mwanafunzi niliyemfundisha katika shule ile (nilimfundisha form three na four) kwasasa yuko hapa mwaka wa pili,tumeanza urafiki tangu nimefika hapa makerere infact it is going into a serious relationship,kiumri nimemzidi miaka 7 yeye ana 21 mimi nina 28! Sasa swali langu ninaweza kuendelea na uhusiano na nikamuoa,tumeshaliongelea hili na yeye ana shida,sasa jamani kuna shida kwa mwalimu kuoa mwanafunzi wake? Nipeni ushauri jamani mapema! Asanteni
thanx prettyYes mkuu unaruhusiwa kabisaa na kwasasa si mwanafunzi wako tena you have to treat her as a wife to be. wish U all the best in ur relation. Even dada yangu aliolewa na mwalimu wake wa Secondary na ni baada yakukutana chuoni kama wewe na mwenziyo.