mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Hivi inakuwaje msichana unaamua kumpa mwili wako kaka ambaye hajakuoa au hamko kwenye ndoa!! Hivi huu ujasiri munautoa wapi? Khaa!! mimi hili linanishangaza kwa kweli na kila nikijiuliza huwa sipati jibu ni kwanini huwa mnafanya hivi. wasichana na wanawake mubadilike jamani hii sio tabia kabisa! Hongera kwa wasichana wote waliojitunza mpaka kuolewa na wale ambawo wanaendeleya kujitunza.