Ninawashangaa sana wasichana wenye tabia hii

Ninawashangaa sana wasichana wenye tabia hii

Hivi mtu anaweza kuwa na matarajio ya kuoa au kuolewa na bikra wakati yeye sio bikra?.Na kama yupo je,huo ujasiri anautoa wapi?
 
Hivi inakuwaje msichana unaamua kumpa mwili wako kaka ambaye hajakuoa au hamko kwenye ndoa!! Hivi huu ujasiri munautoa wapi? Khaa!! mimi hili linanishangaza kwa kweli na kila nikijiuliza huwa sipati jibu ni kwanini huwa mnafanya hivi. wasichana na wanawake mubadilike jamani hii sio tabia kabisa! Hongera kwa wasichana wote waliojitunza mpaka kuolewa na wale ambawo wanaendeleya kujitunza.

Hujielewe elewi wewe... kua uyaone.
 
Back
Top Bottom