Ninawashangaa sana wasichana wenye tabia hii

Hiyo shida unaona wewe kutokana na mtizamo wako, lakini unatunza kitu kisichoisha ili iweje. Na mtazamo wako kwamba unampa mwanaume kama vile anafaidi peke yake utakuathiri hata kwa mmeo.
 
Hivi inakuwaje msichana unaamua kumpa mwili wako kaka ambaye hajakuoa au hamko kwenye ndoa!! Hivi huu ujasiri munautoa wapi? Khaa!! mimi hili linanishangaza kwa kweli na kila nikijiuliza huwa sipati jibu ni kwanini huwa mnafanya hivi. wasichana na wanawake mubadilike jamani hii sio tabia kabisa! Hongera kwa wasichana wote waliojitunza mpaka kuolewa na wale ambawo wanaendeleya kujitunza.

This is a statement,how can we argue? Tafuta namna ya kuiweka...
 
unatushangaa eeh....hongera mwaya kama ww ni ke endelea kujitunza hadi siku ya ndoa ila tu ukikutana na surprise huko usirudi hapa kutuuliza ufanye nini
 
Na utashangaaa saaana huku wenzio tukishikilia madushe kama filimbi za sungusungu
 
Mtoa mada kamaanisha kwamba mwanamke lazima awe na class na standard..kukamuana kupo lakini sio zile meneja bank twende, trafic twende, msafisha kucha na miguu twende, daktari kala... Yaani unakuta mtu mpaka inafikia papuchi yale kaipa thamani ndogo sana(kajichoka) haujawahi kuona watu kama hawa..unakuta mtu kila mwezi anatiniwa uti, fungus, pid nk.. Mwili wake kaupa thamani ndogo sana alishageuzwa na kila aina ya mwanaume na sisi wengine tunaamini hata ma wewe ukila demu ka huyo unajipa minuksi tu..

ID yako nini hiyo mbona unasahihisha sana?
 
kweli kabisa...tabia mbaya sana...hawajithamini ndio maana wanapanua panua tuu mbunye zao
 
haumuuzi mtu mbuzi kwenye kiroba hapa,lete tutest then ndio tufanye mpango wa kuacha au kuoa....
 
wacha weeee kwaio wewe ndio unakibana hata kikiliwa na siafu sawa thubutuuuuuuu
 
Hivi inakuwaje msichana unaamua kumpa mwili wako kaka ambaye hajakuoa au hamko kwenye ndoa!! Hivi huu ujasiri munautoa wapi? Khaa!! mimi hili linanishangaza kwa kweli na kila nikijiuliza huwa sipati jibu ni kwanini huwa mnafanya hivi. wasichana na wanawake mubadilike jamani hii sio tabia kabisa! Hongera kwa wasichana wote waliojitunza mpaka kuolewa na wale ambawo wanaendeleya kujitunza.

Haupaswi kushangaa, bali tambua kuwa wanawake ni wadhaifu na nirahisi kushawishiwa (si kudanganywa). Hivyo unapaswa kufahamu kwamba hakuna kiumbe rahisi kushawishiwa (ka) kama mwanamke.
 
Ndo black women wengi walivyo..wanaona ni sifa ku---- arround na vitu ka hizo..kumbe ni kujitia minuksi tu ..unakute mbunye iko nyanganyanga alafu..mtu akichoka ndo anasaka ndoa..
 
Mtoa mada kamaanisha kwamba mwanamke lazima awe na class na standard..kukamuana kupo lakini sio zile meneja bank twende, trafic twende, msafisha kucha na miguu twende, daktari kala... Yaani unakuta mtu mpaka inafikia papuchi yale kaipa thamani ndogo sana(kajichoka) haujawahi kuona watu kama hawa..unakuta mtu kila mwezi anatiniwa uti, fungus, pid nk.. Mwili wake kaupa thamani ndogo sana alishageuzwa na kila aina ya mwanaume na sisi wengine tunaamini hata ma wewe ukila demu ka huyo unajipa minuksi tu..

Kwani UTI na fungus zinasababishwa na kuwa na wapenzi wengi?
 
Ndo black women wengi walivyo..wanaona ni sifa ku---- arround na vitu ka hizo..kumbe ni kujitia minuksi tu ..unakute mbunye iko nyanganyanga alafu..mtu akichoka ndo anasaka ndoa..

Mkuu, sikosalako kutokutembe.
Hapa tuna Ke wa kihindi, Rusian, Philipines, Nepal, Bangladesh na kadhalika. Wapo wanajipanga mitaa NAIF wakitembeza k kama kwaida na k zao zimechoka kuliko hizo za huko kwetu Africa. So, unakosea kuwauwa Black womans.
 
Unaongea vitu vya kufikirika wewe.. hao indian, russian nk..ni asilimia ngapi na.umewaona wapi wewe..?
 
Wao wanaume huwa wanafunika?wanatoa gegedeo na kulivisha nguo kisha wanatumia eeh?
 
Back
Top Bottom